Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Kiongozi umeijibu hii hoja kwa hoja bora zaidi,ni utashi wa President na sio sisi kuingilia maamuzi yake ni kama coach wa professional club!Yaani umefikia kumpangia Rais amteue nani?Kweli wajuaji wamekuwa wengi.Ni Tanzania tu wanatokea watu wanaohoji Rais amchague nani na kwanini hakumchagua mtu fulani.
Wanateuliwa wenye vigezo.Ni jambo la kushangaza... Oooh tutateua kutoka vyama vya upinzani pia
Sasa nauliza kwanini usimteue Lema, Msigwa, Sugu au Lissu?.. Au hawa sio wapinzani