Kwanini Rais ameteua Mkuu wa Mkoa kutoka chama kidogo na kuacha vikubwa?

Kwanini Rais ameteua Mkuu wa Mkoa kutoka chama kidogo na kuacha vikubwa?

Yaani umefikia kumpangia Rais amteue nani? Kweli wajuaji wamekuwa wengi. Ni Tanzania tu wanatokea watu wanaohoji Rais amchague nani na kwanini hakumchagua mtu fulani.
 
Na huwezi kushangilia kifo cha aliyekua raisi wa jamhuri ya Tz halafu ukapewa ukoo wa mkoa?! Hiyo ingeleta picha mbaya sana na wangeinajisi serikali.
 
Kwani jamaa si amehamia ccm muda tu au?
 
Yaani umefikia kumpangia Rais amteue nani?Kweli wajuaji wamekuwa wengi.Ni Tanzania tu wanatokea watu wanaohoji Rais amchague nani na kwanini hakumchagua mtu fulani.
Kiongozi umeijibu hii hoja kwa hoja bora zaidi,ni utashi wa President na sio sisi kuingilia maamuzi yake ni kama coach wa professional club!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Huwezi kumlinganisha huyo mama na Zero Brain Tundu Lissu. Samia yuko sahihi
 
Alisema anatafuta watanzania wenye uwezo- huko kwenye vikubwa hawapo
 
Inaonyesha hata haujielewi wewe. Hivi unaelewa ukiolewa unatakiwa kulala bila....c.h**p? sasa akiwa kiongozi wa mkoa ndiye mshauri na msimamizi wa sera za chama tawala. Labda kama hamna mpango wa kuchukua nchi 2025??
 
Back
Top Bottom