Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Labda ni ubabe wa ndani tu. Wakitoka nje ya mipaka wanakalishwa.Nimejiuliza hili swali mara nyingi, kwanini Rais wa Jamhuri ya Muungano akiwa nje ya Tanzania, huwa haambatani na wale walinzi wenye silaha nzito? Leo Rais SSH ametua Malawi bila wale walinzi hata alipoenda Rwanda ni hivyo hivyo! Wajuzi wa mambo njooni mtujuze utaratibu upoje?
Wa kwetu ni mlenda tu. Ubabe wanatufanyia sisi wonyonge.Wale ni counter assault team. Siyo special forces.
Rais wa Marekani huwa anaenda nao kila sehemu aendayo hapa duniani...
Siku Samia atapoenda kuzindua SGR beba bastola ya toy nyeusi, itoe mfukoni then kimbilia upande aliopo then uje utoe taarifa kama ni mlenda au siyoWa kwetu ni mlenda tu. Ubabe wanatufanyia sisi wonyonge.
Mbona lipo...kwenye msafara wa kiongozi yeyote mkubwa lazima liwepoSiku izi silioni lile Gari lililokuwa na Antena nyingi sijui hata linaitwaje, wakati wa mwendazake lilikuwa halikosekani kwenye msafara.
Kwa Mama sijaliona mkuu halafu linaitwaje lile? nimeona msafara wa Mama karibu mara 5 sijaliona.Mbona lipo...kwenye msafara wa kiongozi yeyote mkubwa lazima liwepo
Lilikua lnanikera Sana Lile dubwasha.Siku izi silioni lile Gari lililokuwa na Antena nyingi sijui hata linaitwaje, wakati wa mwendazake lilikuwa halikosekani kwenye msafara.
Linaitwa power jamming vehicle system..Mama analo pia..haliwezi kukosekana mahali alipo.Kwa Mama sijaliona mkuu halafu linaitwaje lile? nimeona msafara wa Mama karibu mara 5 sijaliona.
Isipokua kwa haya mataifa makubwa haya super powers na vinchi vidogo vyenye nguvu za kiuchumi na kiusalama. Watu wanapiga kambi wiki au miezi kadhaa kabla au baada ya kutangaza ziara. Zile ziara za dharura kama misiba pia zina arrangements zake priorJukumu la ulinzi wa rais anapokua nje ya nchi lipo chini ya nchi anayozuru/ tembelea hivyo atatakiwa kuwa na walinzi wachache iwezekanavyo.
Huwa nashangaa hao counter assault team kujifanya wapo busy wakizunguka na silaha nzitonzito as if wanategemea a serious assault kutoka kwa wanyonge wale huko vijijini ambao hata kupinga tozo mpya hawawezi.Wale ni counter assault team. Siyo special forces.
Rais wa Marekani huwa anaenda nao kila sehemu aendayo hapa duniani.
Kwa Tanzania sidhani kama tuna rasilimali za kutosha kuweza wao kuambatana na Rais kila aendapo.
Hivyo, naamini jukumu hilo huwa linakabidhiwa kwa nchi mwenyeji.
Radio jamming vehicle. Ila pia ku bypass signals ni rahisi pia tu kama ilivyo ngumu kuset hizo frequeviesLinaitwa power jamming vehicle system..Mama analo pia..haliwezi kukosekana mahali alipo.
Tuna washukuruni nyote kwa majibu haya, nimeingia mtandaoni nimeliona aisee, aisee Uraisi ni mtamu nakumbuka mstaafu Mwinyi alisema kiti kitamu sana kile na usipokuwa na hofu ya Mungu ndio balaa kabisaa,lijidubwa limoja tu la mamilioni kumlinda mtu mmoja duh! 😳 😳Radio jamming vehicle. Ila pia ku bypass signals ni rahisi pia tu kama ilivyo ngumu kuset hizo frequevies
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app