Kuna mtu anayeweza kuelewa kwa nini viongozi wa kisiasa wa taifa hasa Rais huwa wanakula kiapo/ wanaapishwa baada ya kuteuliwa au kuchaguliwa?
Pia msingi wa kutumia vitabu vya dini katika kula kiapo/kuapishwa kwao kwa taifa ambalo ni secular(lisilo la kidini) huwa ni nini?