Kwanini Rais Museveni hajaenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli Chato?

Kwanini Rais Museveni hajaenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli Chato?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
 
Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
Domo refu kama chupa kazi Umbeya tuuuuuu.
 
Walikua ni marafiki tangu lini?

Magu hajui urafiki hua unatengenezwaje, ili ww uwe rafiki yake lazima ukubali kujishusha tu siku zote Lkn Kama we mwenyewe Ni mwamba then huwezi kua na urafiki nae hata kidogo.

So hakua na marafiki Ila alikuaga amezungukwa na wanafiki wale WA YES BOSS.
 
Kwakuwa sio lazima ,na haikuwa kwenye rataiba zake
 
Mtaendelea kuishi kwa masononeko kwa sababu ya ujinga wa kuamini huyo mtu wenu hajafa,kwani angeenda kuna lolote wangezungumza?
 
Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
Alikuwa ni rafiki wa taasisi siyo personal
 
President @KagutaMuseveni concluded his state visit to the United Republic of Tanzania with a visit to the ancestral home of the Late Tanzania President,John Pombe Joseph Magufuli.

He paid his respects & laid a wreath on the grave of the former head of state.

Courtesy: Uganda State House
 
President @KagutaMuseveni concluded his state visit to the United Republic of Tanzania with a visit to the ancestral home of the Late Tanzania President,John Pombe Joseph Maguful...
Sukuma Gang mnateseka Mkiwa Wapi!??
 
IMG_20211129_175209.jpg
 
Huna taarifa sahihi. Ameenda kutoa heshima zake kwenye kaburi la marehemu.
 
Back
Top Bottom