Kwanini Rais Museveni hajaenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli Chato?

Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?

3016752_IMG_20211129_184102.jpg
 
Kwani katiba inasemaje kuhusu ilo? Tuanzie hapo kwanza
 
Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
Kaburi la mwendazake Lina u spesho gani hadi aende kuzuru? Acha ujinga mtoa mada.
 
Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
Ili iweje? Mhenga huyo alidhuru la JK Nyerere enzi hizo in a very special moment. Musaba ana roho mzuri sana atazikwa na wengi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
Mwacheni JPM APUMZIKE JAMANI
 
Back
Top Bottom