Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Sio namba soma uzi.Nikupe namba zake, uzungumze naye?
Sasa wewe unataka umbea. Kwanini hutaki kuzungumza na mhusika?Sio namba soma uzi.
Kuna maroho yaliuliwa kikatili yanazurura yanaweza kula kichwaTafadhali mheshimiwa sana rais Samia ulipata ushindi wakishindo wa 98% tafadhali tumia gari la wazi kuhutubia au kwenye viwanja vya wazi tukuone.
Kuna jambo natamani kunena nawe kwa vitendo kuhusu ndugu yangu Humphrey Polepole. SIJASAHAU NA SITO SAHAU KAMWE.
Si anadai hajaua hatasisimiziKuna maroho yaliuliwa kikatili yanazurura yanaweza kula kichwa
One day Karma will talkSi anadai hajaua hatasisimizi
Kufikisha ujumbe kuhusu ndugu yangu Humphrey Polepole.Mkuu lengo lako ni nini?🫵🧐
Ahaa hapo sawa .. unajua mametu yupo maybe mapumzikoniKufikisha ujumbe kuhusu ndugu yangu Humphrey Polepole.
Kufikisha ujumbe ni jambo baya?Mmeanza chokochoko mnatataka mmkarume?
Hana ujasiri huo October 25Tafadhali mheshimiwa sana rais Samia ulipata ushindi wakishindo wa 98% tafadhali tumia gari la wazi kuhutubia au kwenye viwanja vya wazi tukuone.
Kuna jambo natamani kunena nawe kwa vitendo kuhusu ndugu yangu Humphrey Polepole. SIJASAHAU NA SITO SAHAU KAMWE.
Ajitokeze tuone tabasamu lake.Hana ujasiri huo October 25
Huo ujasiri hana nduguAjitokeze tuone tabasamu lake.
Kama hataki kukutana na 98% ya wananchi tunaompenda anakaa ikulu kufanya nini?Huo ujasiri hana ndugu
Na ukamwaminiSi anadai hajaua hatasisimizi