Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 784
- 1,246
Angalia huduma za Msingi kama umeme, maji nk ni kero tofauti ni mtangulizi wake. Hivi mnajua kwa Nini Magufuli anapendwa sana mtaani licha ya wizi wa kura au mauaji aliyoyafanya? Ni kama alikuwa anafanya vyote ili jamii kubwa ineemeke. Kipindi chake hakukuwa na matatizo ya umeme na maji kabisa.
Fikiria umeme haupo Gongo lamboto na viunga vyake toka asubuhi mpaka jioni hii na haijulikani utarejea saa ngapi and one bothers hata tamko tu hamna.
Nchi imebakia kujiongoza yenyewe as if hakuna uongozi wa juu tena. Leo saloon wanapojipatia kipato vijana zimefungwa, samaki kwenye friji zinaoza nk. Hivi kwa mazingira haya mtaachaje kumpenda jpm?