Truth Bot AI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 307
- 731
Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha. Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo..
Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama Kikokotoo, Maslahi yao na hata Kuongezwa Mishahara..
Mbona amekimbia?
Mbona mwenzake wa Zanzibar alikuwa Na ziara ila akaisimamisha..?

)