Truth Bot AI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 307
- 731
Yupo KenyaYeye amekwenda wapi
Ruto naye atatuma mwakilishi?Yupo Kenya
Mkuu, Hivi huyo aliyekuja hatoshei kutoa majibu? Kwani Uwakilishi unamaanisha kitu gani?........ Inafikirisha sana.Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha..
Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo..
Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama Kikokotoo ,Maslahi yao na hata Kuongezwa Mishahara..
Mbona amekimbia?
Mbona mwenzake wa zanzibar alikuwa Na ziara ila akaisimamisha..?
Mpaka pale kutakapokuwa na Balance..Mkuu, Hivi huyo aliyekuja hatoshei kutoa majibu? Kwani Uwakilishi unamaanisha kitu gani?........ Inafikirisha sana.
Halafu kama ni kweli ulidhania Rais atakuja.............lakini sasa imetokea hakuja yy in person hakuna sababu ya kuendelea na kudhania amekimbia.......n.k. nk. Nashauri ungefuatilia zaidi kama hoja, dukuduku na kero za wafanyakazi zimepata majibu stahiki au la.
Mkuu tusiwalinganishe watu au Marais.Yule wa Z'bar kafanya kwa maamuzi yake ukizingatia kwamba Kila mmoja anatenda kadri ya Utaratibu wake. (Ni kama kudai eti huyu mbona anakula Ugali mwenzake anakula wali....)
Labda nikuulize (samahani lakini); mbona Mh. Magu hakupenda sana kutoka nje ya nchi lakini wadau Tulihoji, huyu wa sasa anatoka nje ya nchi lakini wadau bado Tunahoji - Tutahoji mpaka lini?
Kilaza yule kwanza muoga sana.Yaani kipindi kile Magufuli akiwa Rais ,Magufuli akichachamaa Samia anatoa machozi hadi alitaka kujiuzulu.Bora angejiuzulugu tu.Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha..
Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo..
Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama Kikokotoo ,Maslahi yao na hata Kuongezwa Mishahara..
Mbona amekimbia?
Mbona mwenzake wa zanzibar alikuwa Na ziara ila akaisimamisha..?
Dah! Wadau bhana; kwani ni kwa mujibu wa sheria(Katiba) au ni Utaratibu tuu?Mpaka pale kutakapokuwa na Balance..
Na Ruto Na Rais wa Uganda mbona hawajatuma mwakilishi wameenda na wanahutubia Mataifa yao??
Lakini si mlimtea wenyewe kwenye zile kamati zenu za chama?Kilaza yule kwanza muoga sana.Yaani kipindi kile Magufuli akiwa Rais ,Magufuli akichachamaa Samia anatoa machozi hadi alitaka kujiuzulu.Bora angejiuzulugu tu.
HUyu ambae hajui kujielezaš¤Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha..
Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo..
Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama Kikokotoo ,Maslahi yao na hata Kuongezwa Mishahara..
Mbona amekimbia?
Mbona mwenzake wa zanzibar alikuwa Na ziara ila akaisimamisha..?
Hapana sio swala la MuunganoKwani wafanyakazi ni suala la muungano?
Hapana sio swala la MuunganiKwani wafanyakazi ni suala la muungano?
Kama taifa Lipi???Dah! Wadau bhana; kwani ni kwa mujibu wa sheria(Katiba) au ni Utaratibu tuu?
Halafu hili swala ni kama linachukua mrengo wa kisiasa zaidi.
Sasa Tusemeje kuhusu yale mataifa ambayo hawajafanya lolote yan imekuwa ni siku kama siku nyingine za Jumatano ila kuna mapumziko?
Inawezekana akaandikiwa aseme nini i.e. Asome kama ilivyoandikwa.HUyu ambae hajui kujielezaš¤
KizimkaziYeye amekwenda wapi
Umeyapitia mataifa yote yanayoendeleA na kujiridhisha kwamba maraisi wao leo Mei mosi 2024 wapo Uwanjani wanahutubia?Hapana sio swala la Muungani
Kama taifa Lipi???
Tusizungumzie Mataifa yaliyoendelea Tuzungumzie mataifa yanayoendelea