Kwanini Rais wa Tanzania hajawahi kutoka kwenye royal family?

Kwanini Rais wa Tanzania hajawahi kutoka kwenye royal family?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Haya ni maswali tunapaswa kujiuliza na kuyaweka kichwani.

Ni kwanini Rais wa taifa letu hajawahi kutoka Royal family.

Yaani ngoja niweke picha ya Ruto:
FB_IMG_1716845852860.jpg
 
Kwanza tuanze kuzijua royal family
1. Kikwete family
2.mwinyi
3.mkapa
4.nyerere
5.
 
Ukiona hivyo ujue not ever royal family is loyal family!
Jipange loyal is man-made. You can make yourself royal
 
Watoto wa ma chifu si ndo hao ma royals au hadi wavae kama akina malkia
 
Back
Top Bottom