Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Nyerere alikuwa mtoto wa chief wa wazanaki.
Au kwako loyal family unazania nini?
🤣🤣🤣Hivi Royal na loyal ni kitu kimoja?
Nyerere na kikwete ni loyal family wale wote wazee wao walikuwa machief.Haya ni maswali tunapaswa kujiuliza na kuyaweka kichwani.
Ni kwanini Rais wa taifa letu hajawahi kutoka Royal family.
Yaani ngoja niweke picha ya Ruto:
View attachment 3001271
Labda atoke na joketi....maana mume wake katimuliwa siku nyingi.Haya ni maswali tunapaswa kujiuliza na kuyaweka kichwani.
Ni kwanini Rais wa taifa letu hajawahi kutoka Royal family.
Yaani ngoja niweke picha ya Ruto:
View attachment 3001271
Labda alitaka Mo Dewj awe raisi 🤷♂️Nyerere alikuwa mtoto wa chief wa wazanaki.
Au kwako loyal family unazania nini?