emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 543
Ni mtizamo tu,nimefuatilia kila anapohuzuria jambo lolote uwanjani huwa anava suti,sasa je ofisin suti na uwanjani suti hata kupiga Jezi ya timu ya taifa anashindwa,na Mpira alicheza kweli enzi za ujana!!!!!!!
Mawazo yako ni mgando sanaSi unajua tena Nshomile (Mhaya) bila suti anajiona kama vile hajavaa. We ushawahi kumuona yule Dr. Banwa akaongea bila suti & Miwani?
Una mawazo mfuMuhaya yule usishangae
Usishangae bwana hiyo error ilikuwa mida ya usingizRaid?
Yeye ni Icon wa football memberAcheni mambo yenu ya kishamba, kila mtu ana aina ya mavazi anayopenda, hatuwezi kufanana, ingekuwa ni lazima kuvaa mijezi ukiwa uwanjani basi tungeona makocha kama Conte, Wenger, Mourinho nk. wanavaa hayo majezi
Bwana misuti anaficha madeni kupitia misuti.Anajiandaa na misuti siku akiwa Rais wa FIFA asipate tabu.
By the way, kwani washalipa ile Kodi wanayodaiwa na TRA?