Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa CHAMA cha riadha ni Mhe Antonty Mtaka mkuu wa mkoa simiyu na anapiga suti kama kawaidaUkiona mtu hana style zinazo present kazi yake mwilini mwake, hujue huyo mpigaji.
Kuna Mtu mmoja nae ni Rais wa Riadha ni kijana, jina lake gumu sana saa anazo vaa ni zinapresent Riadha, mwili na akili yake vimekaa kiliadha. Nasubiri mafanikio ya Riadha
Rais wa CHAMA cha riadha ni Mhe Antonty Mtaka mkuu wa mkoa simiyu na anapiga suti kama kawaida