Kwanini rais wa TFF anapenda kuvaa masuti mpaka uwanjani, hata Jezi ya timu ya Taifa hana

Kwanini rais wa TFF anapenda kuvaa masuti mpaka uwanjani, hata Jezi ya timu ya Taifa hana

Ukiona mtu hana style zinazo present kazi yake mwilini mwake, hujue huyo mpigaji.

Kuna Mtu mmoja nae ni Rais wa Riadha ni kijana, jina lake gumu sana saa anazo vaa ni zinapresent Riadha, mwili na akili yake vimekaa kiliadha. Nasubiri mafanikio ya Riadha
 
Rais wa CHAMA cha riadha ni Mhe Antonty Mtaka mkuu wa mkoa simiyu na anapiga suti kama kawaida
 
jamaa hivi elimu yake ni kiwango gani? amemaliza elimu ya msingi?
 
Suti aliyo vaa fuatilia utakuta ina nembo ya TFF.
Mechi ya Serengeti Boyz Vs Black..(ya Ghana) ilikuwa na nembo ya Shirikisho la mpira Tz. Hivyo kwangu sioni kosa.

Pia watanzania ndio hatupendi vazi la suti tu. Sijui ushamba/sijui kujiona wa kisasa zaidi(japo ni upuuzi)? Ulaya umeona wapi mgeni rasmi au mtu mkubwa kama Jamal Malinzi yupo ktk flana au Tshirt au Jeans? Wakenya tu wako very smart kutuzidi ktk suala la mavazi kwa viongozi.
Tshirt zenyewe tunazo vaa nyingi mitumba (eti original). Magonjwa tupu.
 
Mpiga dili tu yule..... hivi zile ofisi za tff alifungua kule posta bado zipo?
 
anatokea mbulu kuna baridiiiii mpeni muda azoe joto hahahaha
JK ndo mwalimu uvaaji very smart and stylish wafundishe ndugu zako kuvaa coz hata mkulu nae uvaaji wake sometimes mhmh
 
Back
Top Bottom