Kwanini Rais wa Zanzibar hayupo kwenye list ya ICC?

Kwanini Rais wa Zanzibar hayupo kwenye list ya ICC?

Agent-47

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
786
Reaction score
2,860
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar, rais wa Zanzibar ndiye amir jeshi mkuu wa vyombo vya usalama Zanzibar. Ndiye mwenye mamlaka kwa vyombo hivi. Ndio maana vyombo vinampigia Mwinyi mizinga na siyo Samia. Kwa maana hiyo, rais wa Zanzibar ndiye aliyetoa order ya vyombo vya Zanzibar, KMKM kuja bara kufanya mauaji ya alaiki.

Kwanini sasa Mwinyi hayuko kwenye list ya watu wanaoshitakiwa, na siyo kuwa hayupo tu bali hata kutajwa hatajwi kabisa.

Naomba mnijuze wana jamvi
 
Kwa maana hiyo, rais wa Zanzibar ndiye aliyetoa order ya vyombo vya Zanzibar, KMKM kuja bara kufanya mauaji ya alaiki.
Tutafika tu huko wala sio mbali ila kwanza tunaanza kufagia huku kwanza kukiwa kusafi tunahamia huko sasa, ataeleza vizuri ilikuakuaje hao Kikosi cha Kufanya Magendo wakaingia kuua kwenye ardhi ya Tanganyika
 
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar, rais wa Zanzibar ndiye amir jeshi mkuu wa vyombo vya usalama Zanzibar. Ndiye mwenye mamlaka kwa vyombo hivi. Ndio maana vyombo vinampigia Mwinyi mizinga na siyo Samia. Kwa maana hiyo, rais wa Zanzibar ndiye aliyetoa order ya vyombo vya Zanzibar, KMKM kuja bara kufanya mauaji ya alaiki.

Kwanini sasa Mwinyi hayuko kwenye list ya watu wanaoshitakiwa, na siyo kuwa hayupo tu bali hata kutajwa hatajwi kabisa.

Naomba mnijuze wana jamvi
Bila kibali cha rais wa Zanzibar KMKM wasingekuja bara na amri ya SHOOT TO KILL lazima KMKM waipokee kutoka kwake ndipo waitekeleze, literally mauaji ya Watanganyika ilikuwa ni collaboration ya Samia na Hussein Mwinyi.
 
Ushaidi wa KMKM kuwa involved kwenye mauaji upo wazi. Kwa Uganda bado sijaona ushaidi wa wazi, ndo maana sijamuweka.
ICC utafiti wameufanya lin mpaka kuja kutoa ripot hiyo? Kmkm ni sawa na Jeshi la maji tu, kikosi cha kuzuia migomo na taharuki au maafa ni KZU.

KMKM opereshen zao sio za ardhini, lakin pia wazir wa vikos maalum yupo. Pengine qkisikia hiz tuhuma atasem jambo kama ni kweli
 
Na mbona sasa ulikuwa unaulizia Uganda? Nini ilikuwa msingi wa swali lako?
 
Natk kujua accuracy ya unachokielewq. Vikos vya Smz havin uwezo wa kuingia tanzania bara kuoperate kitu chochote, kama imetokea hivyo maana yake ni kwqmba wamepatikana kwenyehizo opershen kama walivyotokea hawa wa Uganda. Si katika kivuli cha Muungano au msingi wa taifa moja

Tafsiri ya hii ni kwmba jeshi la jwtz lilitakiwa kupambana nao kama wanajeshi wa nchi nyingine wanaovamia nchi yao
 
Back
Top Bottom