TWISSRais wa Uganda yupo?
Tutafika tu huko wala sio mbali ila kwanza tunaanza kufagia huku kwanza kukiwa kusafi tunahamia huko sasa, ataeleza vizuri ilikuakuaje hao Kikosi cha Kufanya Magendo wakaingia kuua kwenye ardhi ya TanganyikaKwa maana hiyo, rais wa Zanzibar ndiye aliyetoa order ya vyombo vya Zanzibar, KMKM kuja bara kufanya mauaji ya alaiki.
Bila kibali cha rais wa Zanzibar KMKM wasingekuja bara na amri ya SHOOT TO KILL lazima KMKM waipokee kutoka kwake ndipo waitekeleze, literally mauaji ya Watanganyika ilikuwa ni collaboration ya Samia na Hussein Mwinyi.Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar, rais wa Zanzibar ndiye amir jeshi mkuu wa vyombo vya usalama Zanzibar. Ndiye mwenye mamlaka kwa vyombo hivi. Ndio maana vyombo vinampigia Mwinyi mizinga na siyo Samia. Kwa maana hiyo, rais wa Zanzibar ndiye aliyetoa order ya vyombo vya Zanzibar, KMKM kuja bara kufanya mauaji ya alaiki.
Kwanini sasa Mwinyi hayuko kwenye list ya watu wanaoshitakiwa, na siyo kuwa hayupo tu bali hata kutajwa hatajwi kabisa.
Naomba mnijuze wana jamvi
ICC utafiti wameufanya lin mpaka kuja kutoa ripot hiyo? Kmkm ni sawa na Jeshi la maji tu, kikosi cha kuzuia migomo na taharuki au maafa ni KZU.Ushaidi wa KMKM kuwa involved kwenye mauaji upo wazi. Kwa Uganda bado sijaona ushaidi wa wazi, ndo maana sijamuweka.
ICC utafiti wameufanya lin mpaka kuja kutoa ripot hiyo? Kmkm ni sawa na Jeshi la maji tu, kikosi cha kuzuia migomo na taharuki au maafa ni KZU.
KMKM opereshen zao sio za ardhini, lakin pia wazir wa vikos maalum yupo. Pengine qkisikia hiz tuhuma atasem jambo kama ni kweli