HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Then kodi tunayolipa serikali kwa ajili ya maisha ya raia, tuwape hao RC kwa ajili ya hiyo kazi.Kwanini RC msipite mnaombea kila kijiji au familia waweze kufanikiwa kimaisha,kukiwa na mafanikio ktk kila familia amani itakuja yenyewe tu.
Hizo propaganda nyingine ni uhuni tu na kutafuta fedha kupitia sadaka za maombi.
Elewa neno RC mkuuWao wenyewe wamefanikiwa?
Unafiki, Uchawa & Uzandiki vimekua vyeo vyenye malipo mazuri sana ila majukumu yake ya kazi ni ukubali kudhalilika.
Endelea kukalisha kiuno hapo kwenu ukisubiri maombi.Kwanini RC msipite mnaombea kila kijiji au familia waweze kufanikiwa kimaisha,kukiwa na mafanikio ktk kila familia amani itakuja yenyewe tu.
Hizo propaganda nyingine ni uhuni tu na kutafuta fedha kupitia sadaka za maombi.
Ujinga wenu waafrika ndiyo dhambi yenu hamna dhambi nyingine,mzizi ni kijiji na familia siyo taifa,ebo!Toka pepo.
Tunaanza na mzizi sio tawi.
Regional commissionerElewa neno RC mkuu
HayaaRegional commissioner
Kama israel nchi takatifu na biblia walivyokuachia weweHilo eneo wamekuachia wewe, mkuu.
Ujinga ni wewe kuunga walichokuchagulia pasipo kudadisi ukweli na haki ya kufanya hivyoOmbea hilo na wewe, wao wamechagua cha kuombea