Kwanini redio siku hizi zinafanya sana michezo ya kubeti? Je watu wanashinda?

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
788
Reaction score
1,743
Sasa hivi Kila ukifungua redio wao hutangaza wa kubashiri kwa kutuma Hela kwenda studio.

Najaribu kuwaza hivi unajuaje na namna wanavyoendesha hiyo michezo kwa sababu wewe unatuma tu hela halafu mtu aliyeko kule ndio afikirie akutumie ww sh.ngapi,

Naona kama watu wanapigwa sana labda kama Kuna mwenye ushuhuda aliwahi kushinda kutoka redioni atusaidie.

Asanteni jf
 
Si kama unavobet uingereza ashinde wewe ndie unacheza? Wewe ndie harry kane?
 
Sasa hivi Kila ukifungua redio wao hutangaza wa kubashiri kwa kutuma Hela kwenda studio.

Najaribu kuwaza hivi unajuaje na namna wanavyoendesha hiyo michezo kwa sababu wewe unatuma tu hela halafu mtu aliyeko kule ndio afikirie akutumie ww sh.ngapi,

Naona kama watu wanapigwa sana labda kama Kuna mwenye ushuhuda aliwahi kushinda kutoka redioni atusaidie.

Asanteni jf
Naona kama watu wanapigwa sana labda kama Kuna mwenye ushuhuda aliwahi kushinda kutoka redioni atusaidie.
👇
Kushinda sio tatizo unaweza kushinda Lakini huwezi kushindana na computer maana Ile kamari ni programmable kwamba The house always win yaani mwenye mchezo hapati hasara kwamba unaweza ukala Lakini utaliwa sanaa😭
 
Back
Top Bottom