Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 788
- 1,743
Naona kama watu wanapigwa sana labda kama Kuna mwenye ushuhuda aliwahi kushinda kutoka redioni atusaidie.Sasa hivi Kila ukifungua redio wao hutangaza wa kubashiri kwa kutuma Hela kwenda studio.
Najaribu kuwaza hivi unajuaje na namna wanavyoendesha hiyo michezo kwa sababu wewe unatuma tu hela halafu mtu aliyeko kule ndio afikirie akutumie ww sh.ngapi,
Naona kama watu wanapigwa sana labda kama Kuna mwenye ushuhuda aliwahi kushinda kutoka redioni atusaidie.
Asanteni jf