Kwanini refa alisimamisha shambulizi la Simba?

Kwanini refa alisimamisha shambulizi la Simba?

Hayo ni maelekezo kutoka juu.
Unaanzaje kuifunga timu ya jesemu ambaye mzamini mwenza.

HAWA TUMBILI MWAKA HUU WANATAKA KUCHUKUA UBINGWA KWA KILA NAMNA WAPO RIDHAA HATA KULAWITIWA(KABWILI).
watapatikana tu ,point mbili watazidrop tu ni suala la mda
 
yule refa pale alifanya kosa kubwa la wazi
Baada ya mpira kusimama kutokana na filimbi aliyopiga watu tukawa tunasubiri sababu ya yeye kusimamisha mpira lakini hakutoa akaruhusu mpira uelekezwe tena simba, hii ni ajabu sana
 
Baada ya mpira kusimama kutokana na filimbi aliyopiga watu tukawa tunasubiri sababu ya yeye kusimamisha mpira lakini hakutoa akaruhusu mpira uelekezwe tena simba, hii ni ajabu sana
unajua ndo maana huwa Morison hadi anarushaga mikono kwa hasira,na yule refa alivyo mjanja akawahi kuwapa wachezaji wengi yellow ili kuwaogopesha
 
Oto tutakutana tu
Screenshot_20211211-192108_WhatsApp.jpg
 
Wanasema eti Morrison aliunawa!Ila ukiachana na yote,sikuona sababu ya Kibu kuendelea kuwepo uwanjani muda wote Huo wakati game ilimkataa!
Tukija Kwa Bocco ni vema tu akatafute ustaarabu mwingine timu nyingine,hata isingepigwa filimbi ya offside,tayari alishakosa goli Tena rebound amebaki na kipa!Derby ya kariakoo,dk ya 87 ubaoni 0-0 unakosa goli wakati kipa alishaanguka!
Ni wakati wa Tshabalala kupewa rasmi ukapteni mkuu!
Aisee mm ni simba kinoma ila bocco nakubaliana na wewe kaisha january wamuuze tu. Alivyo ingia bocco nikajisemea mwalimu si amuache tu kagere
 
Hilo lipo wazi kabisa ,huwezi kupuliza tu filimbi kwenye move kama ile bila kosa ,hata fair play huwa hadi mchezaji mwenye mpira aamue kuutoa
Kama ulikuwa na jibu lako unauliza swali la nini?
 
Aisee mm ni simba kinoma ila bocco nakubaliana na wewe kaisha january wamuuze tu. Alivyo ingia bocco nikajisemea mwalimu si amuache tu kagere
Bocco arudi tu hata Azam au hizi timu zinazoshika namba 3 au 4 huko. Bocco hata kuchega kutuliza mpira nishida lazima ataugonga vibaya au foul ya kusukuma kwa nguvu akikabana
 
Bocco arudi tu hata Azam au hizi timu zinazoshika namba 3 au 4 huko. Bocco hata kuchega kutuliza mpira nishida lazima ataugonga vibaya au foul ya kusukuma kwa nguvu akikabana
Au aushike mpira ana mikono mirefu kinoma. Yaani hata ufungaji bora mwaka jana ni.ile tu kagere alikamiwa kupangwa ila kagere alikua anachukua.
 
Kama ulikuwa na jibu lako unauliza swali la nini?
mi niliona hamna kosa iliyofanyika maana sijaona nahitaji kujua wengine wameonaje. Bila shaka umenielewa binti
 
Au aushike mpira ana mikono mirefu kinoma. Yaani hata ufungaji bora mwaka jana ni.ile tu kagere alikamiwa kupangwa ila kagere alikua anachukua.
mi alipoingia tu halafu wanatoka kagere na Morison nikaona hapa hamna tena goli,imagine Ile shuti la Kanote kipa alipotena kaiwahi na bado akatoa nje ,ingekuwa ni kagere pale haachi nyavu
 
Kuna kipindi Simba walishambulia Morison akampasia Kapombe na ilikuwa ndani ya 18 ,ilikuwa move ya goli. Naomba kufahamu kosa gani ilifanyika ,Tuache ile shuti ya Kanote halafu akapuliza offside.

Ila hata hivo hamna kelele baada ya mechiView attachment 2040820
Kanishangaza sana kipa kacheza mpira unamkuta mshambuliaji eti offside.......ile mechi nyuma ya pazia ina mengi sana
 
Benard Morrison aliushika mpira kabla ya kutoa pasi kwa Kapombe na refa alishapuliza filimbi kabla mpira aujafika kwa Kapombe na wachezaji wote walisikia filimbi. Ndio maana Morrison alikaa chini na kupigapiga nyasi kuonyesha hakushika mpira. Baati nzuri refa alikua karibu na aliliona tukio kwa uhakika.
Kama angetaka kuua move ya Simba angefanya hivyo wakati Bangala amefanyiwa Faul na akapeta ikaleta ilo shambulizi alilo shika Morrison.
 
Back
Top Bottom