watapatikana tu ,point mbili watazidrop tu ni suala la mdaHayo ni maelekezo kutoka juu.
Unaanzaje kuifunga timu ya jesemu ambaye mzamini mwenza.
HAWA TUMBILI MWAKA HUU WANATAKA KUCHUKUA UBINGWA KWA KILA NAMNA WAPO RIDHAA HATA KULAWITIWA(KABWILI).
Baada ya mpira kusimama kutokana na filimbi aliyopiga watu tukawa tunasubiri sababu ya yeye kusimamisha mpira lakini hakutoa akaruhusu mpira uelekezwe tena simba, hii ni ajabu sanayule refa pale alifanya kosa kubwa la wazi
unajua ndo maana huwa Morison hadi anarushaga mikono kwa hasira,na yule refa alivyo mjanja akawahi kuwapa wachezaji wengi yellow ili kuwaogopeshaBaada ya mpira kusimama kutokana na filimbi aliyopiga watu tukawa tunasubiri sababu ya yeye kusimamisha mpira lakini hakutoa akaruhusu mpira uelekezwe tena simba, hii ni ajabu sana
Ingekuwa ni upande wa simba ungeskia refa wa mchongo anaibeba simbaunajua ndo maana huwa Morison hadi anarushaga mikono kwa hasira,na yule refa alivyo mjanja akawahi kuwapa wachezaji wengi yellow ili kuwaogopesha
Ndio hakushika mpira ila refa alipuliza kuashiria Morrison kaushika mpiralakini kwenye replay kwa namna yoyote hamna sehemu inaonyesha Morison kashika mpira
Kwa hiyo ni mchongo sioNdio hakushika mpira ila refa alipuliza kuashiria Morrison kaushika mpira
MichongoKuna kipindi Simba walishambulia Morison akampasia Kapombe na ilikuwa ndani ya 18 ,ilikuwa move ya goli. Naomba kufahamu kosa gani ilifanyika ,Tuache ile shuti ya Kanote halafu akapuliza offside.
Ila hata hivo hamna kelele baada ya mechiView attachment 2040820
Mtabaki mnasema tu hivyoSimba shukuruni leo mmetoka salama
Aisee mm ni simba kinoma ila bocco nakubaliana na wewe kaisha january wamuuze tu. Alivyo ingia bocco nikajisemea mwalimu si amuache tu kagereWanasema eti Morrison aliunawa!Ila ukiachana na yote,sikuona sababu ya Kibu kuendelea kuwepo uwanjani muda wote Huo wakati game ilimkataa!
Tukija Kwa Bocco ni vema tu akatafute ustaarabu mwingine timu nyingine,hata isingepigwa filimbi ya offside,tayari alishakosa goli Tena rebound amebaki na kipa!Derby ya kariakoo,dk ya 87 ubaoni 0-0 unakosa goli wakati kipa alishaanguka!
Ni wakati wa Tshabalala kupewa rasmi ukapteni mkuu!
Kama ulikuwa na jibu lako unauliza swali la nini?Hilo lipo wazi kabisa ,huwezi kupuliza tu filimbi kwenye move kama ile bila kosa ,hata fair play huwa hadi mchezaji mwenye mpira aamue kuutoa
Bocco arudi tu hata Azam au hizi timu zinazoshika namba 3 au 4 huko. Bocco hata kuchega kutuliza mpira nishida lazima ataugonga vibaya au foul ya kusukuma kwa nguvu akikabanaAisee mm ni simba kinoma ila bocco nakubaliana na wewe kaisha january wamuuze tu. Alivyo ingia bocco nikajisemea mwalimu si amuache tu kagere
Au aushike mpira ana mikono mirefu kinoma. Yaani hata ufungaji bora mwaka jana ni.ile tu kagere alikamiwa kupangwa ila kagere alikua anachukua.Bocco arudi tu hata Azam au hizi timu zinazoshika namba 3 au 4 huko. Bocco hata kuchega kutuliza mpira nishida lazima ataugonga vibaya au foul ya kusukuma kwa nguvu akikabana
Sawa binti mkubwami niliona hamna kosa iliyofanyika maana sijaona nahitaji kujua wengine wameonaje. Bila shaka umenielewa binti
mi alipoingia tu halafu wanatoka kagere na Morison nikaona hapa hamna tena goli,imagine Ile shuti la Kanote kipa alipotena kaiwahi na bado akatoa nje ,ingekuwa ni kagere pale haachi nyavuAu aushike mpira ana mikono mirefu kinoma. Yaani hata ufungaji bora mwaka jana ni.ile tu kagere alikamiwa kupangwa ila kagere alikua anachukua.
Kanishangaza sana kipa kacheza mpira unamkuta mshambuliaji eti offside.......ile mechi nyuma ya pazia ina mengi sanaKuna kipindi Simba walishambulia Morison akampasia Kapombe na ilikuwa ndani ya 18 ,ilikuwa move ya goli. Naomba kufahamu kosa gani ilifanyika ,Tuache ile shuti ya Kanote halafu akapuliza offside.
Ila hata hivo hamna kelele baada ya mechiView attachment 2040820