Kwanini rich people wanapenda kucheza golf

HEBU NA WEWE TUONDOLEE UPUUZI WAKO HAPA,LIONE NYAMBAAAFU WEWE.
 
hilo ndo tatizo

yaani watu wote dar wakachezee Gymkhana?

acha tukomae na chandimu tu popote tunalisongesha!
 
Mm nafikiri aliyeleta thread chini yake ameweka logic yake
Kwa maoni yangu nafikiri golf ndo mchezo ambao unatumia akili kuliko nguvu ( mentality than physicality) na kwa kawaida matajiri ndo wanafikiria kuliko masikini
Kwa maana kwamba sisi masikini niwaoga sana wa kufikiria ndo maana tunatumia nguvu nyingi kupata riziki zetu contrary to rich men
Ndo maana tunachagua physical exercise than mental exercise
 
Matajiri ndio wanafikiria kuliko masikini?

Wote wanafikiri tena unaweza kukuta masikini ndo anaumiza kichwa kuzidi tajiri lakini utofauti wao unakuja kwamba wanafikiri kuhusu nini?

Hisia za masikini zimetawaliwa na woga, aibu na hofu ya kushindwa lakini hisia na mawazo ya tajiri yapo katika kuyamini kwamba anaweza!

Kwa mfano masikini atasema, "hili jambo siliwezi" lakini tajiri anajiuliza "nifanye nini kupata hili jambo"
 
1.Ni sehemu ambapo matajiri wanakutana kubadilishana mawazo,kutengeneza connections na mengineyo (brunching)

2.Vifaa navyo ni gharama,golfkit bei yake imesimama,na golf clubs nyingi fees zao ni kubwa.

3.Mchezo wa strategy zaidi.
 
Golf ni mchezo unaohitaji umakini,makidirio,mahesabu ,nguvu na akili nyingi kuucheza kwa hiyo kwa wenye pesa inasaidia kuamsha akili japo yuko mchezoni lakini anatumia akili nyingi lakini hata chess pia.
I agree
 
You hit the point,poor people wengi hawapendi kufikiri that way wanatumia nguvu nyingi sana badala ya akili
 
You hit the point,poor people wengi hawapendi kufikiri that way wanatumia nguvu nyingi sana badala ya akili
 
You hit the point,poor people wengi hawapendi kufikiri that way wanatumia nguvu nyingi sana badala ya akili
Kwahiyo hao matajir wameanza kufikiri baada ya kutajirika sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…