Kwanini ripoti ya Bashiru Ally haikutekelezwa na Magufuli?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,611
Kulikuwa na kizungumkuti gani na kigugumizi gani kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Magufuli (deceased) kutotekeleza kwa 100% ripoti ya Tume ya chama ya Bashiru Ally?

Je, kutotekeleza ripoti hiyo siyo kwamba inaashiria matumizi mabaya ya rasilimali za chama kwa Tume hiyo ambayo sasa ni kama "work done zero" kama ilivyokuwa kwa Tume ya Jaji Warioba ya mabadiliko ya Katiba ambayo nayo "work done zero"
 
Ukuona channel ten ikirudishwa?au ulitaka utekerezaji upi?
 
Sababu angewagusa wastaafu wengi, hivyo maisha yake kuwa magumu.
 
Huku na huku hatuwezi ipata hiyo report ? Hata dondoo zake???
 
huyo bashiru na kundi lake bora usiwataje kabisa. unakumbusha watu maumivu. sijui atafanya kazi gani 2025 na hajafungua tv ya yutube kama mwenzake polepole.
Kazi yako wivu. Bashiru hata asipopewa ubunge au kazi serkalini siyo kwamba atasota kama wewe mwenye wivuy ya kike. Bashiru alitokea chuo kikuu na alikuwa mwalimu huko na akitaka anaweza kurudi maana hakuondoka kwa ubaya. Wewe kila kitu maumivu na yartazidi pale CHADEMA itakapokufa kifo cha mende. Mbowe mwenyewe anaabudiwa kama Kabaka wa Bagana, akitembea na mke wako utawatangazia CHADEMA wote kuwa wewe ndiyo unapendwa na Mbowe maana kasuzia uchafu wote wa jela kwa mkeo. Grow up. Be yourself! It is as if you cannot live without Mbowe!
 
Ripoti 80% ilikuwa imejaa majungu na fitina. Ilielezea watu zaidi kuliko mali.
Mzee akaona huyu jamaa anataka cheo tu akampa uKM wa chama.
 
Iliwagusa Vigogo Wengi Sana Wa Chama Chetu Mpaka Ambao Wengine Wangekuacha Midomo Wazi Mfano, Channel 10 Television, Magic FM Radio Vilikuwa Mali Ya Mtu Na Mapato Yanaingia Mfukoni Kwake Kila Siku Kwa Miaka Zaidi Ya 15
 
Magufuli alikuwa na makandokando mengi
 
Hata Kama hatasota lakini maumivu ya ndani kwa ndani ataish nayo sauna chezea wewe psychological torture. Acha liumie tuu hanna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…