Kwanini ripoti ya Bashiru Ally haikutekelezwa na Magufuli?

Kwanini ripoti ya Bashiru Ally haikutekelezwa na Magufuli?

Iliwagusa Vigogo Wengi Sana Wa Chama Chetu Mpaka Ambao Wengine Wangekuacha Midomo Wazi Mfano, Channel 10 Television, Magic FM Radio Vilikuwa Mali Ya Mtu Na Mapato Yanaingia Mfukoni Kwake Kila Siku Kwa Miaka Zaidi Ya 15
So ela za kuendesha Tume zimeenda na maji kama zile za Tume ya Jaji Warioba siyo?
 
Msamehe tu,,, Jua kali sana asaiv.. Vichwa vinapata sana Joto
Unakuta mtu ni JF Expert lakini bado amekwama kweye matusi kama New Member wa JF, hatendei haki cheo chake cha JF Expert. Baghosha!

Vinginevyo mtu akitukana JF imshushie points na cheo arudishwe kwenye ukuruta (cheo cha New Member)
 
Huyo Bashiru na kundi lake bora usiwataje kabisa. unakumbusha watu maumivu. sijui atafanya kazi gani 2025 na hajafungua tv ya yutube kama mwenzake polepole.
Mkuu Bashiru ni Mwanazuoni.
 
Ripoti 80% ilikuwa imejaa majungu na fitina. Ilielezea watu zaidi kuliko mali.
Mzee akaona huyu jamaa anataka cheo tu akampa uKM wa chama.
Bashiru ajawahi kutaka cheo mkuu,alipewa na akapewa zaidi kutokana na utendaji wake.
 
Back
Top Bottom