Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
- Thread starter
-
- #21
So ela za kuendesha Tume zimeenda na maji kama zile za Tume ya Jaji Warioba siyo?Iliwagusa Vigogo Wengi Sana Wa Chama Chetu Mpaka Ambao Wengine Wangekuacha Midomo Wazi Mfano, Channel 10 Television, Magic FM Radio Vilikuwa Mali Ya Mtu Na Mapato Yanaingia Mfukoni Kwake Kila Siku Kwa Miaka Zaidi Ya 15
Hilo tusi limepitwa na wakati, tafuta tusi jingine jipya unitukane nalo
Hilo tusi limepitwa na wakati, tafuta tusi jingine jipya unitukane nalo
Alisha samehewaMsamehe tu,,, Jua kali sana asaiv.. Vichwa vinapata sana Joto
Unakuta mtu ni JF Expert lakini bado amekwama kweye matusi kama New Member wa JF, hatendei haki cheo chake cha JF Expert. Baghosha!Msamehe tu,,, Jua kali sana asaiv.. Vichwa vinapata sana Joto
Unakuta mtu ni JF Expert lakini bado amekwama kweye matusi kama New Member wa JF, hatendei haki cheo chake cha JF Expert. Baghosha!I salute to your wisdom
Mkuu Bashiru ni Mwanazuoni.Huyo Bashiru na kundi lake bora usiwataje kabisa. unakumbusha watu maumivu. sijui atafanya kazi gani 2025 na hajafungua tv ya yutube kama mwenzake polepole.
Bashiru ajawahi kutaka cheo mkuu,alipewa na akapewa zaidi kutokana na utendaji wake.Ripoti 80% ilikuwa imejaa majungu na fitina. Ilielezea watu zaidi kuliko mali.
Mzee akaona huyu jamaa anataka cheo tu akampa uKM wa chama.
sasa anasubiri nini kwenye siasa, aondoke hakuna anayemtaka.Mkuu Bashiru ni Mwanazuoni.