RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kwa uchunguzi wangu binafsi sijawahi kuweka mafuta Puma, Total, Engen nikaambiwa risiti hazitoki, mashine ya risiti mbovu.
Natumia sana hivi vituo na mara zote napata risiti. Lakini mara chache ninapotumia vituo fulani huwa nakumbana na hii shida kwamba risiti hazitoki mashine mbovu.
Shida ni nini? Shida ni nini kwa akina ngamia, ziwa, pbg ni wengineo?