Kwanini risiti hazisumbui kwenye vituo hivi vya mafuta?

Kwanini risiti hazisumbui kwenye vituo hivi vya mafuta?

Inawezekana wanatumia system tofauti. Juzi nasafiri nikaweka mafuta ziwa oil, wakaniqmbia risiti haitoki hadi baadae, nikawaambia nitarudi baada ya siku tatu nikute risiti yangu. Siku tatu baadae narudi bado mashine inasumbua
 
Back
Top Bottom