Mkuu, jibu ni obvious. Though hizi risiti zinatakiwa pump ikitoa mafuta zitoke hata bila human interventions.Kwa uchunguzi wangu binafsi sijawahi kuweka mafuta Puma,Total,Engen nikaambiwa risiti hazitoki mashine ya risiti mbovu. Natumia sana hivi vituo na mara zote napata risiti. Lakini mara chache ninapotumia vituo fulani huwa nakumbana na hii shida kwamba risiti hazitoki mashine mbovu. Shida ni nini? Shida ni nini kwa akina ngamia,ziwa,pbg ni wengineo?
AiseeSerikali ina 49% ya Puma Energies
Total ni multinational french company
Engies nao si watz, hivyo wanahitaji hesabu zao zikae vizuri.
Oilcom, Lake oil, Camel, Oryx ni wenzetu wa hapa hapa.
Manager unakabidhiwa lita kadhaa lazima hesabu irudi kwa hizo hizo lita ila TRA zinaenda hesabu tofauti
Yaweza kua ni mbovu au wanachakachuaPumps zao ni mbovu?
Puma na total ndio vituo vyangu vya kujazia mafuta since day 1 namiliki ndinga...ngoja niupdate list niweke na hao engine sasa.Kwa uchunguzi wangu binafsi sijawahi kuweka mafuta Puma, Total, Engen nikaambiwa risiti hazitoki, mashine ya risiti mbovu. Natumia sana hivi vituo na mara zote napata risiti. Lakini mara chache ninapotumia vituo fulani huwa nakumbana na hii shida kwamba risiti hazitoki mashine mbovu.
Shida ni nini? Shida ni nini kwa akina ngamia, ziwa, pbg ni wengineo?
Tatizo la kitaifa kwao tu?Lake Oil majuzi na juzi risiti zinasumbua.
Nikamuuliza mhudumu jamani toka jana risiti hazitoki na TRA hawajafika?
Akasema wanashughulikia.
Halafu ni kituo ambacho nimezoea kujazia.
Inaelekea hili ni tatizo la kitaifa.
ConnectionKwa uchunguzi wangu binafsi sijawahi kuweka mafuta Puma, Total, Engen nikaambiwa risiti hazitoki, mashine ya risiti mbovu. Natumia sana hivi vituo na mara zote napata risiti. Lakini mara chache ninapotumia vituo fulani huwa nakumbana na hii shida kwamba risiti hazitoki mashine mbovu.
Shida ni nini? Shida ni nini kwa akina ngamia, ziwa, pbg ni wengineo?