Kwanini Robertinho hakuwa comfortable kwenye interview leo

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kama ulifuatilia mahojiano ya Leo ambao ni utaratibu wa kawaida Kwa makocha na ma captain wa mechi

Kilichonishangaza ni kuwa kocha wa Al ahly the giant [emoji208] alikuwa ana jiamini sana lakini kocha Mzee [emoji23][emoji23] robertinho alikuwa kinyonge sana . tofauti na mbwembwe zake tulizozizoea ......kaja captain boko nae kaongea kinyonge sana tofauti na walivyocheza na DAR CITY FC au horoya

Kwa tuliosoma physcology nadhani tunaelewa kuwa it's means fear, anxiety for upcoming unknown heavyweight.........[emoji23][emoji23]

NB: Je unadhani kuwa mnyonge Kwa super coacher la makocha Simba robertinho ....+ captain la macaptain boko ni ishara ya nini?

 
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kanununi za AFRICAN FOOTBALL LEAGUE zinasemaje? Tuanzie hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…