Swali la msingi ni kwanini anauza na wakati huo huo anatuambia Magu anajenga uchumi mzuri sasa kwanini asiziache apate faida kufanya biashara TZ
You wrote it all!Unajiona unajua Kumbe hujui
Kwenye Ulimwengu wa uwekezaji akitokea Mfanyabiashara Mkubwa wa level ya Rostam akiuza hisa zake huo ni Mjadala Mkubwa Sana Kwa Kuwa unaleta Impact kubwa kwenye FDI ( Foreign direct investment)
Hata Wafanyabishara wakubwa kabla ya kuwekeza wanaenda kwenye Stock market kuona trend ya kuuza Na kununua hisa Sasa Wewe Kwa kutojua unadhan Ni ajabu Mtu kuleta mjadala wa kujadili issue ya Rostm kuuza hisa zake
Sio Kila usichojua Basi hakijulikani
Wakati Mwingine chukua peni Na pensel ujifunze Kwa vitu usivyo Na utaalam navyo Na si dhambi kutojua Ila Ni dhambi kujifany unajua wakati hujui
Hajanunua hisa SA ila anataka hamishia pesa zake kwenye biashara nyingine.Amecheza game ya Kibaishara
Kauza hisa Za Kampuni yake Kwa Kampuni ile ya ki South Africa Halafu kaenda kununua hisa Za ile Kampuni ya South Africa
Katika Lugha rahisi kafanya kuhamisha Mtaji wake kutoka Hapa Nchini mpaka South Africa lakin faida ya Uwekezaji wake ataipata kupitia South Africa
kwahiyo kahama kutoka umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kitanzania akaenda kwenye umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kikaburu.
Hii inatufundisha nini?
Akili ndogo tu, serikali ilikuwa ikimsumbua sana kuhusu hizo hisa, kwa akili yangu ndogo naona kama wanafungasha, huyu jamaa ana uraia wa canada anasepa hivyokwahiyo kahama kutoka umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kitanzania akaenda kwenye umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kikaburu.
Hii inatufundisha nini?
Sisi tuliokuwa tunapenda kusoma hadithi Enzi tukiwa watoto hatukuwahi kujuwa kuwa hizo hadithi zilikuwa zinatufundisha mambo ambayo baadae ukiyaona akili inabidi ipate tafsri haraka. kuna hadithi nilisoma kulikuwa na mfalme alipenda sifa sana, kuna mtu fundi mashuhuri wa kushona mavazi ya ajabu akaamua kumshonea mfalme vazi la ajabu lisiloonekana. Mfalme akalivaa akaenda kwenye umati wa watu akashangaa watu wanamshangaa, mwanzoni alidhani wanashangaa vazi lake lilivyo la ajabu ila watoto walianza kupiga kelele yuko uchi yuko uchi kwa sababu wakubwa waliogopa kumwabia kwamba yuko uchi. Kile kitabu ambaye anacho ebu akiweke humu ambao hawakubahatika kukisoma wakisome.Swali la msingi ni kwanini anauza na wakati huo huo anatuambia Magu anajenga uchumi mzuri sasa kwanini asiziache apate faida kufanya biashara TZ
Mibange tu inamzinguaYaani muda mwingine utasema tu kuwa watanzania bado tunayo safari ndefu. Hivi kijana kama huyu unategemea aje adai uhuru wake. Anaandika kabisa kwanini kauza. Kuna mtu hapa atakuuliza kwanini umeuza baskeli yako. Hivi unawaza sawa sawa. Au ndio umeamka kutoka usingizini
Yaonyesha unajua mengi2011 Akili kubwaaaz Rostam Abdul rasoul Aziz alipojiuzulu Ubunge wa Igunga alitoa hotuba Fupi Sana akielezea mwelekezi wa Siasa zetu kwenda Mrama lakin ma vuvuzela kina Said Kubenea Na kipeperushi chake Cha Mwanahalisi walikuwa busy kumchafua Kwa Kashfa Za kutunga
Nakumbuka ilifikia hatua alipofiwa Na Baba yake Mzazi Rostam ilitakiwa uwe Na roho ya kijasiri kwenda msiban pale kwake Kwa kuwa ilionekana Kama Ni kusaliti Taifa
Wakati Mzee wake akiwa Hospital Kule France ilikuwa watu wanaaga kwenda Marekan Kumbe uongo wanaenda France lakin Kwa usiri Mkubwa Hata Ubalozin kwetu hawafiki ili wasijulikane wakati Ni watu wakubwa Sana ,
ukitaka kumuua mbwa mpe jina Baya wahenga walinena
Kuna Rafiki zake wakubwa Sana ilibidi waende usiku usiku kuhani msiba wakati alikuwa Mtu wao wa Karibu Sana Kwa zaid ya Miaka 15
Pesa ipo hapo hapo walipo, huko nchi zilizoendelea zina wenyewe wanaoshikilia masoko yao na ushindani ni mkubwa sana. Hao jamaa wakiwa Tanzania ni first class citizens na wananyenyekewa na serikali na mabenki, wanaweza kuchukua ardhi bure halafu wakaitumia kuomba mikopo, huko nje ni watu baki tuu na kunavizingiti chungu mzima. Wao siyo wajinga kufanya biashara zao Tanzania.Ningekuwa mimi ndio ROSTAM ,MENGI,BAKHRESA,MO DEWJI
Ningeshahamisha mitaji yangu huko kwenye nchi zinazoeleweka kuliko kung'ang'a humu ndani .
Ningekuwa mimi ndio ROSTAM ,MENGI,BAKHRESA,MO DEWJI
Ningeshahamisha mitaji yangu huko kwenye nchi zinazoeleweka kuliko kung'ang'a humu ndani .
Bahati mbaya mimi ni kapuku fulani niliye itilima huku[emoji23]
Hii inatufundisha kwamba hali ya uwekezaji kwa Tanzania ni ngumu sana.kwahiyo kahama kutoka umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kitanzania akaenda kwenye umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kikaburu.
Hii inatufundisha nini?