Kwanini Rostam hajifunzi?

Usingechanganya na Imani ningekuelewa tatizo unawahukumu wengine wakati na wewe upo hivyo hivyo...You are full of EGO
 
Yaani huyu binadamu naamini hata hiyo dini Hana ila ni evil spirit ndiyo imemjaa. Mimi ni mwisilamu original na nikabadili dini, sijawahi ona muislam mwenye kumpenda Mungu kuwa na sifa kama hizo za huyu selfish being...
 
Point!,
Kuogopwa na kulelewa,taifa analiangamiza huyu burushi,ni agent wa tycoons Europe
 
watanzania wengi mnakuwa maskini Kwa kufuatilia ujinga na madili ya watu..

Rostam ni mpiga dili hakuna asiyejua na sio yeye wanasiasa hata matajri wote...kwani ni wezi na hawana huruma ili mradi kwao pesa iingie mfukoni tu.

Hata huo mkataba ukiwa unatangazwa wale ambao hawana manufaaa nayo ndio hawa wanapinga Kwa nguvu zote wakati madudu yanajulikana na ufanisi ni mdogo.

Kuweni makini wanasiasa wanaingiza mabillion ya pesa Kwa ujinga wenu, muache apige dili ni bora kuliko Hawa weusi .
 
Unaonaje na sie Serikali yetu tufute mkakaba fake Kisha tuinunue DP world?
Kuifuta au kutoifutabila kurekebisha Katiba is just a temporal measure...We need Katiba mpya na kilakitu kitaji align including kui nunua maana is very possible Kwa wealth tuliyonayo sisi
 
Katiba, Katiba, Katiba...Kila mwenye nia njema na nchi hii lazima ataona huu mfumo unaowezeshwa na mtu Mmoja kuwa na power kama Mungu kwanza ni abomination Kwa Mungu mwenyewe na watu wake
 
Kuifuta au kutoifutabila kurekebisha Katiba is just a temporal measure...We need Katiba mpya na kilakitu kitaji align including kui nunua maana is very possible Kwa wealth tuliyonayo sisi
Katika suala hili,

KATIBA iliyopo inatosha.

KATIBA hii pamoja na mapungufu yake Iko wazi kuwa, hakutakuwa na SHERIA iliyo juu ya Katiba,

Mkataba huu upo juu ya Katiba,

Hivyo kikatiba mkataba huu ni BATILI na FAKE.

Tusubiri kesi ya kikatiba tuone mwisho wake.
 
Rostam anauwezo mkubwa wa kusikika pasipo kuongea, yaani akae pembeni matendo yake yaongee pasipo yeye kutamka.
Rostam amekua anahusishwa na mengi kwahiyo is better akae kimya.
 
Rostam will never step on where he doesn't reap. Hata kama kwa sasa hayupo katika nafasi ya kufaidika moja kwa moja na DpW.

Ashapiga jicho ni kwa namna gani atavuna kutokana na mkataba huo. Na kwa hivyo anajitengenezea mazingira ya kushinda kabla ya pambana lenyewe. Kwa namna yeyote, Rostam ameshaona upenyo ataotia mguu. Na ashajitengenezea.

Alafu, you are being a pathetic idiot.
Have guts to be straight. Acha mapindo pindo ukitaka kuutetea Uislamu wako na kuuponda Ukristo.

Ukweli ni kuwa Rostam ni masterminder wa madili yote machafu ya upigaji wa fedha serikali. Ipo mifano kibao ni kwa namna gani ameshiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…