Kwanini Rostam hajifunzi?

Kwanini Rostam hajifunzi?

Why huyu Rostam hajifunzi?
Why anafanya yaleyale na results zinarudi zile zile na bado haoni "makosa" yake?...
Naomba niseme hapa siko hapa kusema Rostam ni mfanyabiashara Safi Sana ..na wala siko hapa kusema Rostam ni fisadi sana...hapa mjadala sio usafi au ufisadi...hapa mjadala ni kwanini Rostam tena yupo katikati ya mjadala wa Dpworld again...
Was it necessary?
Kama Hana hisa Dpworld angekaa kimyaa kabisa si ingekuwa busara zaidi?why ajitokeze kutetea wakati anajua kabisa jina lake linahusishwa na ufisadi kila mara hata kama katika hizo tuhuma kuna uwongo na majungu na fitina...but mradi jina lake limehusishwa the best kwake ilikuwa kuto onekana in anyway anahusika na hii Dpworld presumed ni kampuni safi na inakuja leta faida......

Rostam hakujifunza kitu kuhusu Dowans?wakati anahangaika kuiuzia serikali Mitambo ya Dowans? Kwa Bilioni 20 Tu na ikashindikana? Hatimae "wakaibadili " kampuni kuwa ya "kimarekani" kutoka kuwa ya "mwarabu" na kelele zote zikaisha?

Rostam hajui kuwa watanzania Wengi hasa waumini wa imani Fulani wanamuona yeye ni "mwarabu" wakati si mwarabu?

Rostam hajui kuwa kundi hilo Hilo linamuona yeye "muislam" wakati sio Muislam?

Rostam hajui kujitokeza kugombana hadharani na Dr Slaa kunazidi tengeneza mtazamo kuwa kuna kundi la waarabu na waislam nyuma ya Dpworld? Wakati muewekezaji mkubwa wa Dpworld ni Wamarekani??..

Why Rostam never learn?
Or was it intentional??
Usingechanganya na Imani ningekuelewa tatizo unawahukumu wengine wakati na wewe upo hivyo hivyo...You are full of EGO
 
Udini unao wewe Kwa nini waislam wengi mnakosa emotional intelligence kiasi hicho uelewa wote wa elimu Dunia mnakuwa machoko kwenye mambo msingi ya critical and analytical thinking ambayo mtoto wa 7 yrs anawazidi that's bullshit, unaongelea dini kwenye mkataba wa kishenzi na kipumbavu pale dini Iko kifungu Cha ngapi?
Yaani huyu binadamu naamini hata hiyo dini Hana ila ni evil spirit ndiyo imemjaa. Mimi ni mwisilamu original na nikabadili dini, sijawahi ona muislam mwenye kumpenda Mungu kuwa na sifa kama hizo za huyu selfish being...
 
Ukiwa umesoma Saikolojia vyema ukaijumlisha na ile ya Kuzaliwa ukitulia na Kuiangalia Kiumakini Sura ya Rostam utagundua kuwa ana Makandokando mengi, si Mwaminifu na ni Mtu HATARI sana kwa Tanzania ya Jana, Leo na hasa Ijayo kama hatodhibitiwa na wale Wanaomuogopa na Kumlea kama Mtoto wa Dawa kwa Waganga wa Kienyeji / wa Maombi kwa akina Mwamposa Tanganyika Packers Kawe na Mwacha Kimara Temboni.
Point!,
Kuogopwa na kulelewa,taifa analiangamiza huyu burushi,ni agent wa tycoons Europe
 
watanzania wengi mnakuwa maskini Kwa kufuatilia ujinga na madili ya watu..

Rostam ni mpiga dili hakuna asiyejua na sio yeye wanasiasa hata matajri wote...kwani ni wezi na hawana huruma ili mradi kwao pesa iingie mfukoni tu.

Hata huo mkataba ukiwa unatangazwa wale ambao hawana manufaaa nayo ndio hawa wanapinga Kwa nguvu zote wakati madudu yanajulikana na ufanisi ni mdogo.

Kuweni makini wanasiasa wanaingiza mabillion ya pesa Kwa ujinga wenu, muache apige dili ni bora kuliko Hawa weusi .
 
Katiba, Katiba, Katiba...Kila mwenye nia njema na nchi hii lazima ataona huu mfumo unaowezeshwa na mtu Mmoja kuwa na power kama Mungu kwanza ni abomination Kwa Mungu mwenyewe na watu wake
 
Kuifuta au kutoifutabila kurekebisha Katiba is just a temporal measure...We need Katiba mpya na kilakitu kitaji align including kui nunua maana is very possible Kwa wealth tuliyonayo sisi
Katika suala hili,

KATIBA iliyopo inatosha.

KATIBA hii pamoja na mapungufu yake Iko wazi kuwa, hakutakuwa na SHERIA iliyo juu ya Katiba,

Mkataba huu upo juu ya Katiba,

Hivyo kikatiba mkataba huu ni BATILI na FAKE.

Tusubiri kesi ya kikatiba tuone mwisho wake.
 
Rostam anauwezo mkubwa wa kusikika pasipo kuongea, yaani akae pembeni matendo yake yaongee pasipo yeye kutamka.
Rostam amekua anahusishwa na mengi kwahiyo is better akae kimya.
 
Rostam will never step on where he doesn't reap. Hata kama kwa sasa hayupo katika nafasi ya kufaidika moja kwa moja na DpW.

Ashapiga jicho ni kwa namna gani atavuna kutokana na mkataba huo. Na kwa hivyo anajitengenezea mazingira ya kushinda kabla ya pambana lenyewe. Kwa namna yeyote, Rostam ameshaona upenyo ataotia mguu. Na ashajitengenezea.

Alafu, you are being a pathetic idiot.
Have guts to be straight. Acha mapindo pindo ukitaka kuutetea Uislamu wako na kuuponda Ukristo.

Ukweli ni kuwa Rostam ni masterminder wa madili yote machafu ya upigaji wa fedha serikali. Ipo mifano kibao ni kwa namna gani ameshiriki.
 
Back
Top Bottom