Sindano za sumu
Member
- Oct 2, 2022
- 46
- 67
Acha ufia dini kwenye mambo ya msingi ya kitaifa ndegelesi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeffrey Epstein was a fake billionaire set up by intelligence services. His private island functioned as a massive child sex trafficking ring that was used to collect blackmail on the global elite (billionaires, celebrities and politicians, etcUkiwa umesoma Saikolojia vyema ukaijumlisha na ile ya Kuzaliwa ukitulia na Kuiangalia Kiumakini Sura ya Rostam utagundua kuwa ana Makandokando mengi, si Mwaminifu na ni Mtu HATARI sana kwa Tanzania ya Jana, Leo na hasa Ijayo kama hatodhibitiwa na wale Wanaomuogopa na Kumlea kama Mtoto wa Dawa kwa Waganga wa Kienyeji / wa Maombi kwa akina Mwamposa Tanganyika Packers Kawe na Mwacha Kimara Temboni.
Nimeanza kuelewa sasa duuuhIle mikataba aliyosaini Rais Samia Marekani wakati wa royal tour Rostam Aziz akiwa katikati ya Rais Samia na wamarekani hukuelewa kitakachojili?
Kifupi Rostam Aziz ni agent wa Mabeberu,wanachokifanya ni kumjazia ukwasi na yeye ku lob Serikali za kiafrika kama mwekezaji.
Kuingilia suala la DP world kisha kushambuliana Dr Slaa ni sehemu ya wajibu wake kama agent mkuu
Alipomkopesha Mtikila nilichoka kabisa. Nikajua wanasiasa wa Tanganyika siyo wa kuwaamini kabisaAlikuwa anaabudu pale Kwenye Huduma ya Kwa Yesu Hakuna Lisilowezekana Mbezi beach Daladala unashukia kituo cha Jogoo 😂😂😂
Wala hajawahi kuwa muislam na wala sio mwarabu..
Aliwanunulia Vyombo vya Kisasa Wanakwaya wa KKKT Kinondoni alipokuwa anasali Spika SittaAlipomkopesha Mtikila nilichoka kabisa. Nikajua wanasiasa wa Tanganyika siyo wa kuwaamini kabisa
Yaani huyu binadamu naamini hata hiyo dini Hana ila ni evil spirit ndiyo imemjaa. Mimi ni mwisilamu original na nikabadili dini, sijawahi ona muislam mwenye kumpenda Mungu kuwa na sifa kama hizo za huyu selfish being...
Duh aliwahi kuhusishwa na skendo Yemen na Irani sasa kaingia Kenya Mungu atunusuru.Ile mikataba aliyosaini Rais Samia Marekani wakati wa royal tour Rostam Aziz akiwa katikati ya Rais Samia na wamarekani hukuelewa kitakachojili?
Kifupi Rostam Aziz ni agent wa Mabeberu,wanachokifanya ni kumjazia ukwasi na yeye ku lob Serikali za kiafrika kama mwekezaji.
Kuingilia suala la DP world kisha kushambuliana Dr Slaa ni sehemu ya wajibu wake kama agent mkuu
Inasemakana jamaa ni CIA agent Kwa upande wa East Africa,kuna mada niliwahi kuisoma humu ilikua inamzungumzia ushirika wake na USAIle mikataba aliyosaini Rais Samia Marekani wakati wa royal tour Rostam Aziz akiwa katikati ya Rais Samia na wamarekani hukuelewa kitakachojili?
Kifupi Rostam Aziz ni agent wa Mabeberu,wanachokifanya ni kumjazia ukwasi na yeye ku lob Serikali za kiafrika kama mwekezaji.
Kuingilia suala la DP world kisha kushambuliana Dr Slaa ni sehemu ya wajibu wake kama agent mkuu
Exactly,na huo ukwasi si wake kama mmiliki bali ni kijakaziInasemakana jamaa ni CIA agent Kwa upande wa East Africa,kuna mada niliwahi kuisoma humu ilikua inamzungumzia ushirika wake na USA
Soma hiyo chini hapo, Rostam Aziz hana tofauti huyo jamaaInasemakana jamaa ni CIA agent Kwa upande wa East Africa,kuna mada niliwahi kuisoma humu ilikua inamzungumzia ushirika wake na USA
Mkataba uliokaa kiwizi wizi WaTz tumeukataa haijalishi ni wa mkristu au muislam. lakini ngoja niwaulize nyie waislam kwanini mnataka kuhalalisha haramu kuwa halali katika hili dubwasha la DPW. ndiyo maana nasisi tusiokuwa na dini tunaanza kupata wasiwasi kuwa mna ajenda zenu nyuma pazia zinazowapelekea kuwa vipofu wa kutokuona madhara ya mkataba huo. Na huyu bwana umejua kuutumia udhaifu wenu huo kufanikisha deal la magumashi kama hili.Why huyu Rostam hajifunzi?
Why anafanya yaleyale na results zinarudi zile zile na bado haoni "makosa" yake?...
Naomba niseme hapa siko hapa kusema Rostam ni mfanyabiashara Safi Sana na wala siko hapa kusema Rostam ni fisadi sana. Hapa mjadala sio usafi au ufisadi...hapa mjadala ni kwanini Rostam tena yupo katikati ya mjadala wa Dpworld again.
Was it necessary?
Kama Hana hisa Dpworld angekaa kimyaa kabisa si ingekuwa busara zaidi? Why ajitokeze kutetea wakati anajua kabisa jina lake linahusishwa na ufisadi kila mara hata kama katika hizo tuhuma kuna uwongo na majungu na fitina but mradi jina lake limehusishwa the best kwake ilikuwa kuto onekana in anyway anahusika na hii Dpworld presumed ni kampuni safi na inakuja leta faida.
Rostam hakujifunza kitu kuhusu Dowans? Wakati anahangaika kuiuzia serikali Mitambo ya Dowans? Kwa Bilioni 20 Tu na ikashindikana? Hatimae "wakaibadili " kampuni kuwa ya "kimarekani" kutoka kuwa ya "mwarabu" na kelele zote zikaisha?
Rostam hajui kuwa watanzania Wengi hasa waumini wa imani Fulani wanamuona yeye ni "mwarabu" wakati si mwarabu?
Rostam hajui kuwa kundi hilo Hilo linamuona yeye "muislam" wakati sio Muislam?
Rostam hajui kujitokeza kugombana hadharani na Dr Slaa kunazidi tengeneza mtazamo kuwa kuna kundi la waarabu na waislam nyuma ya Dpworld? Wakati muewekezaji mkubwa wa Dpworld ni Wamarekani??..
Why Rostam never learn?
Or was it intentional??