Kwanini Rwanda wametuzidi katika hili?

Wewe ndio mgonjwa, nadhani utakuwa teja, ushahidi ea Kagame kuiba uko wapi, acheni mihemko na chuki zisizo na sababu. Wenzenu wataendelea ninyi mmekalia kuwazushia tu.
wewe kweli ni mende wa kagame, unataka tukuletee ushahidi umpeleke mahakamani???

dunia yote inajua kagame ni mwizi na muuaji! ni swala la muda huyo mbwa wenu pk the hague inamngoja.
 
mwenzenu anapokenua kenua mjue ya kwamba AKAUNTI yake IMESHIBA hukooo(ng'ambo).sasa nyie wenzangu na mimi mnapoelezwa ukweli mnaleta ubishi,hebu fikirieni haya MADINI,MBUGA,BANDARI,KILIMANJARO,(NK...)vingepatikana RWANDA;leo hii katika kipindi kifupi cha utawala wa KAGAME ingekuwa wapi? kumbukeni ya kuwa UZALENDO NI VITENDO.
 
Ni kwababu Rwanda wanaishi kwa wizi wa mali za DRC, na ndiyo maana Kagame hakutaka ushauri wa Kikwete because anajuwa wamekwisha kiuchumi.
Natamani huyu ndo angekuwa rais wetu maana inaonekana anawajali sana wananchi wake mpaka anaenda kupora kwa jirani ili wanae wasife njaa!
 
Natamani huyu ndo angekuwa rais wetu maana inaonekana anawajali sana wananchi wake mpaka anaenda kupora kwa jirani ili wanae wasife njaa!


Mkuu usiombe hivyo. I have been in Rwanda many times...pamoja na wizi wanaoufanya DRC lakini bado wananchi wake (Rwanda) wanaishi maisha duni sana na ya uwoga kwani Kagame kawakataza raia wake wasiongee chochote kuhusu genocide au kukosoa serikali yake, ukifanya hivyo tu unakwenda kunyea ndoo na kusahaulika. Angalia wapinzani wake wameishia wapi. Yaani unaambiwa, there's a reason why people hate him there and beyond. It is just a matter of time before tunamuhesabia marehemu.
 
hii habari ni ya uongo!
mtu atupie link kama kuna ukweli wowote anaosema!

Ukitaka Link nenda ITV kawaambie wakupe maana ndio walioitangaza habari hii.
 
...Na kila mwaka kuna kikundi cha waasi kinazuka huko Kongo Mashariki...Ni utawala gani unaofuata sharia unaouzungumzia? Kawauliza Wanyarwandwa wakueleze kama wan uhuru wa kusema tulionao hapa, hata Rais tunamsema hovyo popote!
 
Siana hakika na watu wake kumchukia, kwa sababu inaeleweka kuwa Rwanda rushwa ipo chini, ufujaji wa pesa za serikali upo chini, na hatusikia yeye ikiwakumbatia wahujumu uchumi wa Rwanda. Pia tunajua kuwa uchumi wa Rwanda unakuwa kwa kasi kuliko nchi nyingi tu za Africa, TZ ikiwemo. Above all, hajajitajirisha kwa mali za Umma. Kuchukiwa na watu wachache inawezekana hasa wale wanaoona fursa za kuiba zinazibwa. Pia usisahau kuwa hata nyerere aliweka watu kizuizini alipojua wanajifanya wanataka demokrasia wakati ki ukweli wanataka wanufaike zaidi kwa kuwa wao walikuwa wasomi.
 



Wanaomchukia yeye si mawaziri wala viongozi serikalini japo nahisi watakuwepo tu ila ni raia wake wenyewe (common people), na kama raia huwezi kuongea chochote ama kujadili utawala wake kwani lazima tu utafungwa na kusahaulika jela na ndiyo maana wananchi wake wanamuogopa kwa hilo kwani mifano iko mingi. Yeye Kagame anataka atawale Rwanda kivyake which in a sense is good kama kuna good governance ila hakuna kwani kwa makusudi ameunda M23 ili awe anaitajirisha nchi yake kwa kutesa wacongo na kuzua propaganda za kijinga ili aonekane mwema when he is NOT.
 

RUDI RWANDA

Ukifika kule wakupe kufundisha uchumi na uongozi unaoufahamu wewe nadhani Kagame atafurahi kukuona umerudi na kuitumia elimu uliyoipata bure TZ. Huna ubavu wa kuikosoa TZ rudi kwenu. kila mtu ana kwao. TZ ni kwetu na wewe kwenu Rwanda.
 
wewe ndio usio jielewa na ni wale watoto wa h............ wa Kinyaruanda tuliowalea na kuwaomesha,fadhila za punda mateke. Mbowe na wabunge wote ni cheap politician. na viongozzi wa serikali ni dhaifu. hakuna cha kuloose kwa hako kamkoa na kukua kwa uchumi wao hauhusu Tz, waachukue nyie mliobaki huku.
Utakuwa hujielewi wewe mtu
amekupa taarifa toka ITV wala haihusiani na Mbowe wewe unafuka povu,
kama ushauri wa Mbowe ulikuwa mbaya mbona Kikwete kaomba suluhu kupitia
kwa Museven, elimika kidogo.
 
...Jasusi you are welcome.....pigania nchi yako kwa kuusema ukweli na kukemea uchuro.....huo ndio uzalendo....achana na hawa wanafiki.....TZ imefikishwa hapa na wanaa hawa.....
 
Mkuu with due respect, bado hujanishawishi kuwa Kagame si rais bora kuliko JK. Nijuavyo mimi wananchi tunataka huduma bora za kijamii, kama barabara,elimu, afya nk. Pia tunataka haki ipatikane bila kutoa rushwa. Ikiwa PK anayafanya haya yote sidhani watu watamchukia, by the way hakuna taarifa za kiutafiti zinazosema kagame hapendwi na wananchi wake, hizi ni propaganda tu. Tuwe wakweli, PK ni jembe siyo kama huyu wa kwetu anayeshirikiana na waovu wanaohujumu uchumi
 
Waukae kule wenzetu hakuna siasa za kipuuzi kama huku kule kazi kwanza na tusipokaa sawa utasikia na burundi wametuacha hivyohivyo
 
usiwe unakurupuka kuleta vitu bila kufanyia uchunguzi,

sio kila wanachosema waandish wa habari makanjanja ni kweli,

Ukitaka Link nenda ITV kawaambie wakupe maana ndio walioitangaza habari hii.
 
Ndugu yangu umeandika point..lakini si unajua wa DANGANYIKA wana allegy na kuambiwa UKWELI.....Ukízingatia wengi wao akili zao zimeingia mchuzi.....wana mengi sana kujifunza kutoka RWANDA.
 
Hutakiwi kufungua biashara zote, dhahabu almas, rubi, tanzanita, uranium,gesi, kwa wakati mmoja utaibiwa zote kwa wakati mmoja nautakuwa maskini kwa wakati mmoja, sasa hivi tunatakiwa tuanze na gesi pekee tupate kwanza energy yakutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…