kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,742
- Thread starter
- #121
usiwe unakurupuka kuleta vitu bila kufanyia uchunguzi,
sio kila wanachosema waandish wa habari makanjanja ni kweli,
Waandishi wa Habari wanaweza kuwa sahihi zaidi kuliko hizo Link unazoziabudu wewe kwani siku ambayo Shehk Ponda alipigwa Risasi Mitandao mingi iliripoti kuwa ponda amepigwa risasi na ndio aliyehusika na kumwagiwa Tindikali wale Mabinti wa Uingereza lakini mwisho wa siku ikaonekana ni uongo.