Msishangae
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 392
- 284
Masonic wapi na wewe? Waswahili kujitia ujuaji tu. Huko ulaya mshale ukiwepo 1 wanasema ONE hawasemi SevenNi mpango wa kimasonic (new world order)
Au chapa 666
Mfano saa 7 inakuwa 1, kwahiyo 1+6=7
Saa 8 inakuwa 2, namba 2+6=8
Inakwenda hivyohvyo
Kaa hivyohivyo na ujuaji wakoMasonic wapi na wewe? Waswahili kujitia ujuaji tu. Huko ulaya mshale ukiwepo 1 wanasema ONE hawasemi Seven
Mkuu hata tukitumia hiyo modulo 24 badala ya modulo 12 kwenye saa kwa kufuata majira ya kiswahili basi saa saba usiku itasoma 13 badala ya 1, saa sita usiku itasoma 12 badala ya 0, saa 11 asubuhi itasoma 23 badala ya 5.mtoa mada anakubali siku inamasaa 24 lakini kwa nini saba iwe saa moja na moja iwe saa saba,au mbili iwe saa nane n.k?
Walau ww ulikuwa na point nzuri japo umetuacha kwenye mataa.Mkuu hili swali lako ni marudio ya thread nyingine.
Lilishajibiwa vizuri tu.
Kifupi:
Waswahili siku inaanza saa moja asubuhi.
Watengeneza saa (wazungu) siku inaanzia saa sita usiku. Wakati wewe mswahili una amka na kuanza moja (1) wao wapo masaa saba(7) mbele yako.
Ufanunuzi Kirefu:
Sasa anza kuhesabu masaa yapo mangapi toka saa sita usiku hadi saa 1 asubuhi.
Saa 6:00 usiku - Saa 7 usiku = Saa 1
Saa 7:00 usiku - Saa 8 usiku = Masaa 2
Saa 8:00 usiku - Saa 9 usiku = Masaa 3
Saa9:00 Alfajiri - Saa 10 usiku = Masaa 4
Saa 10:00 Alfajiri - Saa 11 usiku = Masaa 5
Saa 11:00 Asubuhi - Saa 12 Asubuhi = Masaa 6
Saa 12:00 Asubuhi - Saa 1 Asubuhi = Masaa 7 au saa ya/la saba toka mwanzo wa siku. Yaani kizungu ni 7hrs After Meridian ( 07: 00 AM)
Meriadian ndiyo nini? Nakuachia homework.
Niulize swali nitakujibu, nieleze wapi hujaelewa.Walau ww ulikuwa na point nzuri japo umetuacha kwenye mataa
Habari WanaJamiiForums,
Mimi kwa kweli huwa najiuliza jinsi majira au saa invyotamkwa inakuwa ni kinyume kabisa hivi wana JamiiForum
Nijuzeni kwa nini inakuwa hivyo?
Saa 7 usiku haiwezi kusomeka 13 ungwe ya pili ya siku inaanzia saa noon lisaa la 12 na sec1 tangu siku ianze 00:00 usiku hapo ndipo saa 7 mchana inakua 13Mkuu hata tukitumia hiyo modulo 24 badala ya modulo 12 kwenye saa kwa kufuata majira ya kiswahili basi saa saba usiku itasoma 13 badala ya 1, saa sita usiku itasoma 12 badala ya 0, saa 11 asubuhi itasoma 23 badala ya 5.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamsingizia mleta mada tu kumbe hata ww umevurugwa na haya masaaSaa sita kamili usiku inakuwa 00:00. Yani ndo kabisaa wanazidi kumchanganya mleta mada. Loh!