Kwanini saa tunasoma kinyume kwa mfano mshale ukionesha 1,2,3,4 inasomeka au tunatamka saa 7,8,9,10?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji847] daaaaaaaah

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Saa 7 usiku haiwezi kusomeka 13 ungwe ya pili ya siku inaanzia saa noon lisaa la 12 na sec1 tangu siku ianze 00:00 usiku hapo ndipo saa 7 mchana inakua 13
Mkuu nitakuwa nilikosea mahesabu au kuandika, masaa sahihi ya kiswahili kama tungeiga muundo wa saa 24 (modulo 24) saa saba usiku itasomeka 19:00 Usiku.
Tafadhari zingatia sana siku ya mswahili (saa kwa kiswahili) inaanzia saa 12 Asubuhi huku saa ya kizungu ndiyo inaanzia masaa sita kabla yaani inasomeka 06:00 AM au inasomeka 06:00 UTC kama usizingatie +3hrs difference kutoka Prime Meridian/ Greenwich Royal Observatory .

Kwa hivyo tukizungumza saa/majira/siku ya mswahili sahau kuhusu ng'we ya pili, the whole concept lies in when our day starts and that is Six hours (6hrs) after Standard Time (Western Time System- Hapa sema 'mfumo wa kizungu au wa kiingereza').

Sijui kama umenipata hoja yangu, mimi siyo mzuri katika kufafanua hoja yangu kwa maneno mafupi ambayo yanaeleweka.
 
Nimesoma kwa sababu ni kiswahili nimeelewa ila concept sijaipata mkuu labda je kuna mwingine siku yake angependa au angekua na utaratibu kua kwa yeye siku inaanza saa 3 asubuhi au saa 9 alasiri hyo 19:00 inge tofautiana na kila m2 c wazungu c waswahili me nadhani tunge stick na 24hrs na hii 12hrs atleast concept hz mbili zina share same tym siku inapoanza haya mengine ni ya m2 na saa yake atakavyo i set na utaratibu wa siku yake itaanzia wapi mf mm najua inaanza saa6 usiku naamka saa kumi na nusu lukwili siku yangu inaanzia saa 11 alfajiri hiyo 19:00 sijui itakua mda gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…