Kwanini sadaka Misikitini inaonekana ndogo kuliko makanisa?

Kwanini sadaka Misikitini inaonekana ndogo kuliko makanisa?

Status
Not open for further replies.
Makanisa yapo Kwa ajili ya Biashara na makanisani watu hawatoi Kwa ajili ya mungu wanatoa Kwa ajili ya kuonekana tu na kufraisha watu
 
Kwanza hawafundishwi utoaji ili wabarikiwe. Waumini wanatoa mia, mia mbili, mia tano, ikizidi sana buku huku wakijinasibu wana matajiri wengi waislam
 
Uliwahi kufanya sensa ya Imani za watu wanaozunguka siku ya ijumaa kuomba Omba mitaani?
 
Makanisa yapo Kwa ajili ya Biashara na makanisani watu hawatoi Kwa ajili ya mungu wanatoa Kwa ajili ya kuonekana tu na kufraisha watu

Nani kakuambia tena kama ukienda kwenye ukatoliki hakuna hata kulazimishana unatoka mwenyewe
 
Masikini wakubwa wale, sadka watatoa wapi? Kwanza hawafundishwi utoaji ili wabarikiwe. Waumini wanatoa mia, mia mbili, mia tano, ikizidi sana buku huku wakijinasibu wana matajiri wengi waislam

😂😂😂 yaan kwa kujisifia ila sadaka msikiti mkubwa haifiki hata 1m
 
Hapo unatakiwa ujiulize sana ,hawa wengine wako hivi ila wanaongezeka na hapo utajua ipi iko upande wa Mungu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom