Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

safari inakufanya ujione we ndo mbabe kuliko kiumbe chochote.

Wanywaji wa safari ndio wanaongoza kwa kuzua fujo bar na kuwapiga wake zao nyumbani.

safari inakufanya ujione we ndo mbabe kuliko kiumbe chochote.

Wanywaji wa safari ndio wanaongoza kwa kuzua fujo bar na kuwapiga wake zao nyumbani.
hakuna bia isiyo na sukari, aidha sukari ya kuongeza au natural sugar. katika process ya fermentation kuna kuwa na mabaki ya sukari, hivyo wengi wanachukulia bia ambazo hazijaongezwa sukari ati hazina sukari. suala ni kiasi gani cha sukari kimebaki katika biya(residual sugar) unaweza shangaa zile zisizoongezwa sukari ndiyo balaa.Tatizo safari inatengenezwa kwa kutumia teknologia ya zamani ya kuongeza sukari ambayo inamadhara makubwa kiafya na sehemu nyingi duniani wameacha kuongeza sukari kwenye bia,bia kama Castle(TBL) na bia zote za SBL hawaweki sukari kwahiyo madhara yake sio mabaya kama Safari na bia zingine zinazoongezwa sukari.
mkuu naona umekubaliana nami kiaina kuwa kuna sukari natural ambayo haina madhara na sukari hii ya Mtibwa ambayo inaongezwa kwenye Safari ambayo lazima itakuwa na madhara ukizingatia watu hunywa mpaka bia 4-5 na kwenda kulala bila energy hiyo kutumika ,wanywaji wa siku hizi sio wale wa zamani wanajali afya na wengi wamehamia kwenye bia hizi unazoziita zina sukari ya asili ambayo hata kwenye ndizi na papai ipo.hakuna bia isiyo na sukari, aidha sukari ya kuongeza au natural sugar. katika process ya fermentation kuna kuwa na mabaki ya sukari, hivyo wengi wanachukulia bia ambazo hazijaongezwa sukari ati hazina sukari. suala ni kiasi gani cha sukari kimebaki katika biya(residual sugar) unaweza shangaa zile zisizoongezwa sukari ndiyo balaa.
Kuhusu umaarufu wa safari hata mimi nilikuwa nafikiri kama muanzisha thread anavyo fikiri. hizi ni fikra tu kwani hana data zinazo-onesha uzalishaji na matumizi ya brandi mbalimbali za bia. kwa taarifa safri ndiyo inayoongoza brandi zoooooote za bia kunywewa hapa nchini.
weka data mkuu!hakuna bia isiyo na sukari, aidha sukari ya kuongeza au natural sugar. katika process ya fermentation kuna kuwa na mabaki ya sukari, hivyo wengi wanachukulia bia ambazo hazijaongezwa sukari ati hazina sukari. suala ni kiasi gani cha sukari kimebaki katika biya(residual sugar) unaweza shangaa zile zisizoongezwa sukari ndiyo balaa.

Kuhusu umaarufu wa safari hata mimi nilikuwa nafikiri kama muanzisha thread anavyo fikiri. hizi ni fikra tu kwani hana data zinazo-onesha uzalishaji na matumizi ya brandi mbalimbali za bia. kwa taarifa safri ndiyo inayoongoza brandi zoooooote za bia kunywewa hapa nchini.
wadugu safari haifanyi vizuri sokoni ukiwa ni mkakati wa wawekezaji wetu toka walivyochukua uendeshaji wa TBL, kwa wao kuuza Castle wanapata more margin than selling safari. Kwani TBL has also to pay royalty to SAB kwa kutumia brand name yao. Hivyo toka mwanzo walivyo chukua uendeshaji wa kampuni wakaanza jitihada za makusudi kuhakikishia safari brand inakufa kifo cha mende na castle inashika jackpot. Kwa kuwa wasomi wetu ni mbumbumbu huko mawizarani au kwa maslahi yao binafsi wakaamua kukaa kimya. Angalia promosheni za safari, advertisement zake, promotion material..... Zoke ni ovyo, asone of the strategy. While angalia castle utajua kama ni marketer au mchambuzi what is going on.