Watamu sanaAlafu bahari n kubwa kuliko ziwa Victoria
Lakn sato na sangara kila Kona ya nchi wapo.
Hao wengine hawapatikani muda wote . Ni wa msimu hasa wa mvua kwa hiyo ni wachache . Lakini Sato & Sangara ni all over the yearKanda ya Ziwa pia kuna aina nyng za samak kuna ningu, nembe ila wanaishia huko huko kwann sangara na sato?
Mm nafikir kwasababu ya ladha na kuwa na kuwa na nyama nyngi