Kwa wakati huo alikuwa dogo fulani tu kama ulivyosema lakini baada ya miaka kadhaa amekuwa mtu mkubwa na mwenye mafanikio katika soka la Afrika kiasi kuwa Yale aliyoyafanya wakati akiwa dogo fulani ndani ya timu enzi hizo nayo yamejumlishwa kwenye mafanikio yake Eto
Mkuu ishu ni wazi kua Heshima anayoipata Etoo CAF ni kutokana na mafanikio yake ya Ulaya na nasikwenye mashindo ya Afrika.
Sasa kuna viumbe hapa wanajaribu kutuaminisha kuwa amefanya mambo makubwa AFCON ambalo ni uzushi tu.