Kwanini Samwel Eto'o amepewa sana heshima AFCON

Wakuu huyu jamaa mwanzo mwisho amekuwa jukwaa la VIP,tena kiti special ,hata ile kombe ndo alileta mezani,kwanini huyu jamaa kachaguliwa kuliko wachezaji wote waliopita au kuliko wote waliostaafu?
Sababu alipitia klabu bora kabisa kuwahi kutokea ulimwenguni Fc Barcelona
 
Ni overrated tu, hana record yoyote ya mana. izo 18 goals most of them ni penalties tu.
Patrick mboma anastahiki heshima zaidi kuliko yeye. mana ndie aliekua Best player kwenye ile Cameroon iliyobeba mataji.
Wivu ni kidonda
 
Mkuu nimekupa mfano wa hio Afcon 2000,
-lauren ndio alikuwa star player na Mchezaji Bora wa michuano.
-Etoo star player mechi ya Fainali dhidi ya NiGeria kwa Goli na Assist
-Wote Etoo na Mboma walifungana Magoli 4

Bado umeng'ang'ania Mboma ndio aliowabeba wakachukua Kombe, Mkuu una kichwa kigumu Sana.

Tufanye Basi Etoo amebebwa career yake yote na mboma ndio Alstahili kuitwa Ubishi uishe hapa.

Kuwa mchezaji bora wa michuano sio kigezo chakua star player.
Ismail Bennacer ndio mchezaji bora wa AFCON 2019. kati yake na Mahrez nani Star player?
Bado unaendelea kupapatua. Kwa mujjibu wa maelezo yako ni sawa na kusema kuwa Henry alikua key au Big Player kwenye france ya 98.
 
Ni overrated tu, hana record yoyote ya mana. izo 18 goals most of them ni penalties tu.
Patrick mboma anastahiki heshima zaidi kuliko yeye. mana ndie aliekua Best player kwenye ile Cameroon iliyobeba mataji.
wengine walikuwa wapi kupata hizo penalty na kufunga?
 
Kwa soka la AFRICA na dunia kwa ujumla ukitaja top 20 no way utamuacha Samuel Etoo, ni mchezaji aliyekamilika zaidi anajua goli lilipo ni mpambanaji kapita club 4 kubwa zaidi duniani. Realmadrid, Barcelona, Inter Milan na Chelsea.

Enzi zake na akina Patric Mbona, Rigobert Song, Etame Mayer Geremi Njitap Cameroon ilikuwa habari nyingine.

Akina Drogba, Essien, Co. wanatulia tuli Etoo akianza kuzungumza.

Anastahili kupata heshima ya CAF.
 
Ni mwaka gani Etoo aliibeba Cameroon nakuwa bingwa Africa? hayo mafanikio ya ulaya hayana uhusiano na mashindano ya Africa.
Mboma alikua ndie Super Star wa Cameroon walipotowa ubingwa mara mbili mfululizo. Na Etoo alikuana role ndogo sana kwenye ile timu. Kuwa Laurent alishinda uchezaji bora haiondoi ubora wa Mboma kwenye timu. Hata Mahrez wala Feghouli hakuna aliyeshinda uchezaji bora.
I can easily guess. umeanza kufuatilia soka 2010+.

Kama unalijua soka la Africa huwezi kujiuliza mara mbili mchango wa Etoo katika team yake ya taifa, achilia mbali Barcelona.
 
Bila ya shaka inawezekanwa wewe ndio ulioanza kufatilia soccer 2010+, kama unaikumbuka vizuri Cameroon ya 90's na early 2000's utakua unawajua vizuri akina Mboma, Song, Foe, Lauren, Njanka, ita alikua ni dogo tu mbele ya mafundi.
 
Hapo baada ya maziwa kukauka alifanya nini? Cup walizoshinda akina Mboma na wenziwe ndio mafanikio yake pekee ndani ya Timu ya taifa.
Kuna mijadala ya kijinga, hujui historia ya Etoo na itakuwa unaangalia viclip vya Youtube.
Na pia unashindwa kugrasp crusial information za Samuel Etoo. Hakuna mchezaji wa africa aliyefikia vuwango vya etoo achia mbali George Weah. Je unajua huyu aliwai kuwa mchezaji bora wa dunia? Taifa lake halikuwai kupata AFCON.

Nina hakika hukuwai kuona mechi za Etoo Live so probably soka unalolijua ni la kusimuliwa.
 
Bila ya shaka inawezekanwa wewe ndio ulioanza kufatilia soccer 2010+, kama unaikumbuka vizuri Cameroon ya 90's na early 2000's utakua unawajua vizuri akina Mboma, Song, Foe, Lauren, Njanka, ita alikua ni dogo tu mbele ya mafundi.
Wewe ni kichwa maji, unajua Messi alipata tuzo ya uchezaji bora wa dunia na umri gani? Ama Ronaldo de Lima? Ronaldo aliipata akiwa na 20yrs 1996. Unavyosema dogo unakuwa upeo wako umeegemea kwenye age. Statistics zinaongea alikuwa second best only to Shaun Barlet, AFCON top scorer at the age of 19. Na kanyakua AFCON 2times akiwa main striker+ Mboma. Na unajua hata de-lima hakuwai kunyakua UCL so unamaanisha Benzema is better than him. Kama kweli ulikuwa ukifuatilia soka la live huwezi hata kwa nukta tu kumbeza Etoo.

Pia Messi kushindwa kunyanyua world cup ama copa america haimfanyi kuwa nyuma ya akina crespo ama campos, ama mahrez maana hoja yako ni yeye kushindwa kuisaidia team at his upmost level. Open your mind.
 
Wewe ni kichwa maji, unajua Messi alipata tuzo ya uchezaji bora wa dunia na umri gani? Ama Ronaldo de Lima? Ronaldo aliipata akiwa na 20yrs 1996. Unavyosema dogo unakuwa upeo wako umeegemea kwenye age. Statistics zinaongea alikuwa second best only to Shaun Barlet, AFCON top scorer at the age of 19. Na kanyakua AFCON 2times akiwa main striker+ Mboma. Na unajua hata de-lima hakuwai kunyakua UCL so unamaanisha Benzema is better than him. Kama kweli ulikuwa ukifuatilia soka la live huwezi hata kwa nukta tu kumbeza Etoo.

Pia Messi kushindwa kunyanyua world cup ama copa america haimfanyi kuwa nyuma ya akina crespo ama campos, ama mahrez maana hoja yako ni yeye kushindwa kuisaidia team at his upmost level. Open your mind.

Kuna mijadala ya kijinga, hujui historia ya Etoo na itakuwa unaangalia viclip vya Youtube.
Na pia unashindwa kugrasp crusial information za Samuel Etoo. Hakuna mchezaji wa africa aliyefikia vuwango vya etoo achia mbali George Weah. Je unajua huyu aliwai kuwa mchezaji bora wa dunia? Taifa lake halikuwai kupata AFCON.

Nina hakika hukuwai kuona mechi za Etoo Live so probably soka unalolijua ni la kusimuliwa.

kumaliza wapili kwenye chati ya top score haireflect kama wewe ni bora. Hata Henry alimaliza world cup 98 akiwa ndio top score kwa France. Je unaweza kumrank Henry kwenye top 5 ya france 98?

Ishu sio kuwa 19 yers, ishu nikua hakua katika wachezaji tegemeo watimu. Sasa kuaminishwa kuwa yeye ni bora huku mukitulitea reference ambazo sio zakweli, punguzeni pumba.

mimi nimewaona akina Abedi Pele, Weah, Milla, Majder, Kalusha Bwalya. sijaanza kuwaona hao wachezaji wenu wanaoishi ulaya kwa ndumba.
 
Ok uko sawa endelea kuamini unachoamini which is against the reality. Dawa ya mpumbavu ni kumuignore.
 
huo ufuungaji bora wa 2006 3 kati 5 aliyoyafunga yalikua ni peanlties. Bado hazionyeshi individual alio ufanya.
Penalt nayo ni magoli magumu.
Nyota kibao wamekosa penalt ktk mechi kubwa.

Mane, Drigba, Gyan .....
 
Back
Top Bottom