Kwanini sanamu ya askari iliyopo Posta jijini Dar imeelekea baharini?

frankkilulya

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2022
Posts
590
Reaction score
1,494
Wadau naomba kujua kwanini sanamu ya askari pale posta inaelekea baharini na je inamaanisha nini?

 
Kuwatishia mabepari wanaokuja kwa bahari...
 
Inaenda kuogelea mkuu, si unajua harakati za kutwa nzima
 
Hata ingegeukia Mashariki, Magharibi, Kaskazini, juu au chini mngehoji tu
Wadau naomba kujua kwanini sanamu ya askari pale posta inaelekea baharini na je inamaanisha nini?
 
Lilikuwa linaelekeza msafara wa watumwa kuelekea bandarini mkuu, kipind cha ukolon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…