inatokana na ulaji wa lishe bora kila sikuSwali fikirishi.... inakuwaje Sasa Hivi Mtu anaweza Kaa Hata Miaka 5 huku ana kirusi ch Ukimwi Ila Zile dalili z Mwanzo zilizokuwa Zinawapeleka Ndugu zetu kaburini hana.
Kuharisha kutapika... kukonda. N. K
MhInategemea na immunity ya muhusika lakini ukiuvagaa haitomaliza miezi 3 bila kukuletea mushikeri japo mara moja.
Ukiona hivyo wanawahi ARV mapema.Swali fikirishi.... inakuwaje Sasa Hivi Mtu anaweza Kaa Hata Miaka 5 huku ana kirusi ch Ukimwi Ila Zile dalili z Mwanzo zilizokuwa Zinawapeleka Ndugu zetu kaburini hana.
Kuharisha kutapika... kukonda. N. K
Nikawaida kuharisha kutapika kukonda n.k kuna kuja baada ya miaka.kuanzia 5 .Swali fikirishi.... inakuwaje Sasa Hivi Mtu anaweza Kaa Hata Miaka 5 huku ana kirusi ch Ukimwi Ila Zile dalili z Mwanzo zilizokuwa Zinawapeleka Ndugu zetu kaburini hana.
Kuharisha kutapika... kukonda. N. K
Ukimwi wa siku iz nao umehama toka analogi kwenda digitaliSwali fikirishi.... inakuwaje Sasa Hivi Mtu anaweza Kaa Hata Miaka 5 huku ana kirusi ch Ukimwi Ila Zile dalili z Mwanzo zilizokuwa Zinawapeleka Ndugu zetu kaburini hana.
Kuharisha kutapika... kukonda. N. K
Hujasoma vizuri mada rudi kasome uje tena ukomentLishe... na ARVs..
Hata mimi niliwahi kujiuliza hili swali ila jibu langu nililohisi ni kuwaSwali fikirishi.... inakuwaje Sasa Hivi Mtu anaweza Kaa Hata Miaka 5 huku ana kirusi ch Ukimwi Ila Zile dalili z Mwanzo zilizokuwa Zinawapeleka Ndugu zetu kaburini hana.
Kuharisha kutapika... kukonda. N. K
Swali fikirishi.... inakuwaje Sasa Hivi Mtu anaweza Kaa Hata Miaka 5 huku ana kirusi ch Ukimwi Ila Zile dalili z Mwanzo zilizokuwa Zinawapeleka Ndugu zetu kaburini hana.
Kuharisha kutapika... kukonda. N. K
So means itafika kipindi kitaweak sana,kitakuwa hakina effect?Tafiti za kisayansi zinakiri kwamba nguvu ya kirusi imefubaa sana kwa miaka ya hivi karibuni kulinganisha na kile genuine cha awali.
Tafiti za kisayansi zinakiri kwamba nguvu ya kirusi imefubaa sana kwa miaka ya hivi karibuni kulinganisha na kile genuine cha awali.
@DeceptionKuna tetesi kuwa ukimwi haupo