Kwanini sasa hivi Mtu hakondi na kutapika wala kuharisha hata kama hajapima HIV

Kama virusi vya ukimwi vimetenhenezwa kwa makusudi maalumu, huenda wameona ule ukimwi wa zamani ulikuwa unafanya mtu kugundulika mapema so wameona wapunguze makali ili watu waendelee kuukwaa bila kujua.

Maana inasemakana zamani mtu mwenye ngwengwe kijiji kizima mnamjua kwa mwonekano tu,
 
So means itafika kipindi kitaweak sana,kitakuwa hakina effect?
Probably kitazidi kuwa weak sana, maana kimefubazwa sana na ARV's dose hivyo kikiingia kwa mtu mwingine kinakuwa sio active kama awali sababu kinakuwa kimefubazwa sana na madawa.
 
Swali fikirishi.... inakuwaje Sasa Hivi Mtu anaweza Kaa Hata Miaka 5 huku ana kirusi ch Ukimwi Ila Zile dalili z Mwanzo zilizokuwa Zinawapeleka Ndugu zetu kaburini hana.

Kuharisha kutapika... kukonda. N. K
kisayansi, kirusi kina tabia ya kubadirika kulingana na mazingira na ndio maana magonjwa ya virusi kama UKIMWI na mafua hayaponi. Hivyo vimejibadirisha kulingana na mashambulizi dhidi yake
 
Hivi wale jamaa wa Uganda na Bukoba wakifufuka Ukija Kuwaambia Ukimwi Unaanza Kukonda baada ya Miaka 5 watakuelewa kweli...
 
Saikolojia kwamba hata akikonda kuna vidonge, usicheze na Ukimwi wa mwaka 1983-2002, hatari sana, mtu akipita njia hampiti week kisa alopita ana UKIMWI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaaaa ilikua noma sana
 
Zama Zimebadilika Siyo Kila Homa Ni Malaria Ndiyo Maana Kuna MRDT
Malaria Yangu Huijui Inaanzia Tumboni, Nipe Japo Panadol
 
Duuh kifo gani mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…