simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Kuandama kwa mwezi maana yake mwezi ,jua na dunia zipo kwenye mstari mmoja kwa lugha ya sayansi- in conjuction. Sayansi inayouwezo wa kutabiri kwa ufanisi mkubwa wakati wa tukio hili.Utabiri unazingatia mahali alipo mtamazaji /observer location(latitude na longitude). Nadhani muda ni muafaka kuzingatia sayansi kutangaza "kuonekana " kwa mwezi.