simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Sikusudii chochote kile bali ninamaanisha GPS location; that point on the earth where someone is present at that particular momentUnaposema mahali mtu alipo unakusudia nn.
Mahali ni Nchi ?
,
Au mkoa ?
Au bara ?
Mufti kasema mwezi hata zanzibar haukuonekana.Sikusudii chochote kile bali ninamaanisha GPS location; that point on the earth where someone is present at that particular moment
Ulisoma Jiografia shule ya Sekondari? Unaujua mstari unaitwa International Date Line?. Kama unaujua, kwa nini unadhani mstari upo? Na kwa nini mstari huo haujanyooka kama ilivyo mistari mingine?Mufti kasema mwezi hata zanzibar haukuonekana.
.kwa maana ungeonekana angeufuata
Unadhani mufti wa dar yuko zanzibar mpaka aitaje zanzibar kuwa haijaonekana ?
Pia muft kasema na comoro hawajauona,unadhani mufti wa tz yuko comoro mpaka aseme kuwa huko hawajauona ?
Unaposema pahali alafu hukusudii popote ukasema mtu alipo bado hoja yako inakuwa uchi.
Kwa sababu kuna hadithi mtume aliletewa taarifa za kuonekana mwezi na watu wa mashamba ambao wapo kando kidogo ya mji kwa maana watu ama mtu huyu hakuwa ile sehemu aliyekuwepo mtume.
Lakini mtume alikubali taarifa hizo,kwa nini azikubali taarifa za mwezi kwa watu wa kaeneo kengine mtume ?
Weka hoja ya msingi hili suala sio la IDL.Ulisoma Jiografia shule ya Sekondari? Unaujua mstari unaitwa International Date Line?. Kama unaujua, kwa nini unadhani mstari upo? Na kwa nini mstari huo haujanyooka kama ilivyo mistari mingine?
Kabla hujaenda kwenye geography jibu maswali yangu niliyokuuliza juu ya falsafa yako ya "pahali/mahali"Ulisoma Jiografia shule ya Sekondari? Unaujua mstari unaitwa International Date Line?. Kama unaujua, kwa nini unadhani mstari upo? Na kwa nini mstari huo haujanyooka kama ilivyo mistari mingine?