Wanabodi, nimefuatilia mambo ya migodini nikagundua geologist, engineer ambaye ana cheo kama geology manager, au Gelogy supervisor mshahara wao unakuwa wa kawaidi, mfano 9-10 Million/mwezi wakati Supervisor wa maendeleo ya jamii anakula hata million 14. Je hii ni kwanini au wana malipo ya ziada yanayowapa pesa nzuri zaidi??