Kwanini Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wasipewe kusimamia zoezi la uchaguzi mkuu October

Kwanini Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wasipewe kusimamia zoezi la uchaguzi mkuu October

man of the year

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
463
Reaction score
319
Habari wakuu

Kumekuwepo na viashiria vya kutokuaminiana mapema tu kabla ya uchaguzi mkuu,imefikia hatua baadhi ya vyama vya siasa kuamua kususa.

Kwanini ili zoezi wasipewe hawa jamaa ili kutenda haki??? Ili taratibu zifuatwe na kupata wawakilishi halali.

N:b Job seekers wanawajua vizuri hawa jamaa misimamo yao na wanavyo wakanda.
 
Hao jamaa wako makini ila tambua siasa inaharibu hii nchi...
 
Habari wakuu

Kumekuwepo na viashiria vya kutokuaminiana mapema tu kabla ya uchaguzi mkuu,imefikia hatua baadhi ya vyama vya siasa kuamua kususa.

Kwanini ili zoezi wasipewe hawa jamaa ili kutenda haki??? Ili taratibu zifuatwe na kupata wawakilishi halali.

N:b Job seekers wanawajua vizuri hawa jamaa misimamo yao na wanavyo wakanda.

Hiyo sekretarieti si bado watumishi wake ni waajiriwa wa serikali?
 
Habari wakuu

Kumekuwepo na viashiria vya kutokuaminiana mapema tu kabla ya uchaguzi mkuu,imefikia hatua baadhi ya vyama vya siasa kuamua kususa.

Kwanini ili zoezi wasipewe hawa jamaa ili kutenda haki??? Ili taratibu zifuatwe na kupata wawakilishi halali.

N:b Job seekers wanawajua vizuri hawa jamaa misimamo yao na wanavyo wakanda.
Linapokuja suala la CCM hao PSRS hamna kitu maana nao wanapokea maagizo kutoka ofisi ya Rais.
 
Kama unaamini haki inatolewa na UTUMISHI ambao wapo chini ya TAMISEMI na WIZARA YA KAZI NA AJIRA

Basi you need more knowledge


Thank you for trying to think
 
Kama unaamini haki inatolewa na UTUMISHI ambao wapo chini ya TAMISEMI na WIZARA YA KAZI NA AJIRA

Basi you need more knowledge


Thank you for trying to think
Ila hawa jamaa wanazingatia sana uwazi, usawa, na ushindani katika mchakato wa ajira za umma.
 
Ndio ila kimuundo hawachaguliwi na miongoni mwa wagombea wa uchaguzi

Utumishi wa umma ipo chini ya ofisi ya Rais...

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Mji wa Serikali Mtumba Mtaa wa Utumishi, S.L.P. 670 DODOMA. Tanzania
 
Ila hawa jamaa wanazingatia sana uwazi, usawa, na ushindani katika mchakato wa ajira za umma.
Kama wanazingatia ushindani na uwazi kwanini GPA sio kigezo cha kumfanya mtu apate ajira?

Mwenye GPA kubwa anaachwa anachukuliwa mwenye GPA ndogo kisa ni extrovert

Why unapojiunga chuo unawekewa cut point za kujiunga mwenye marks kubwa anaenda chuo moja kwa moja kwanini hivyo vigezo vya utumishi visiunganishwe na vigezo vya mtu kujiunga chuo ili baadae wasipotezee watu muda?


Why wizi, rushwa na utendaji mbovu umetamalaki serikalini kama hao UTUMISHI wanachagua vizuri watu basi nao ni wala rushwa

Likes attract likes, mtoto wa nyoka ni nyoka, ndege wafananao huruka pamoja


Wewe ukiwa mwizi aliyekufanyia vetting probably naye ni mwizi
Ukiwa mlevi ni hivyo hivyo

Sekta za umma kuzorota wa kwanza kulaumiwa ni hao UTUMISHI sababu wao ndio hupembua nani apate nani akose

Tafakari
 
Back
Top Bottom